sheria zinasemaje hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sheria zinasemaje hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kanewi, Jul 28, 2012.

 1. k

  kanewi JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  nikiwa kama machine operator wa mamlaka ya reli,imetokea ajari kwa behewa kotoka kwenye reli kutokana na ubovo wa machine yaani zimechoka,kwanza tokea wachina wazifunge mwaka 1975 hazija fanyiwa ukarabati ,.na je hapa kwetu tanzania tuna idara ipi inayohusika na ukaguzi wa ubora wa machine?
   
Loading...