Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,152
- 11,209
Izo ni mambo za imani ktk jamii flani....tunatofautiana2. ....Ukienda kuhani Msibani watu huwa hatuagiiii tangu enzi izooo, unakata kona unasepaaaa ata sijui kwa nini?
4.... in changamoto kwenye maswala mengi ikiwemo ahadi ya ndoa/kuoanaaa
20... ajuaye siri ya kilichoko MTUNGINI ni mwenye mtungi