Sheria za msingi za kuishi pamoja

Sheria za msingi za kuishi pamoja

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,948
Reaction score
13,378
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia

Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
 
2. ....Ukienda kuhani Msibani watu huwa hatuagiiii tangu enzi izooo, unakata kona unasepaaaa ata sijui kwa nini?
4.... in changamoto kwenye maswala mengi ikiwemo ahadi ya ndoa/kuoanaaa
20... ajuaye siri ya kilichoko MTUNGINI ni mwenye mtungi
 
15: Wakikuongelesha : Wajibu hii sio kweli.
Sasa watu wanataka kupiga stori na wewe utakaaje kimya? Kama hutaki stori nao waambie umetoka kung'oa jino,kwahiyo utakuwa umeshawajibu.
Nalog off
 
2. ....Ukienda kuhani Msibani watu huwa hatuagiiii tangu enzi izooo, unakata kona unasepaaaa ata sijui kwa nini?
4.... in changamoto kwenye maswala mengi ikiwemo ahadi ya ndoa/kuoanaaa
20... ajuaye siri ya kilichoko MTUNGINI ni mwenye mtungi
Unajifanya kama unaongea na simu vile mara huonekani.
Kuwa kama baba yake Yesu,alijua mimba si yake lkn alihudumia,we wanaume wote waliojaa mjini lkn anakwambia mimba ni yako kwanini ukatae kuhudumia? 😂😂😂😂
Ukitia mimba ..... Hudumia
Nalog off
 
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia

Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
Hizo sheria zinatumika kama tu huna pesa, ukiwa na pesa huna haja ya kufuata hata kimoja hapo.
 
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia

Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
7 unacho...saidia wengine kulingana na uwezo.
Ukigawa si utaishia kuwa masikini.
 
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia

Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
Haya yote yanamezwa na neno moja tu HEKIMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom