kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Kumekuwa na simanzi kubwa na kuongeza idadi ya familia zitakazoishi maisha magumu kutokana na madhaifu ya sheria zetu ambazo zimelenga kukomesha watu badala ya kutatua tatizo.
Sheria inayomfunga kijana miaka 30 kisa tu amempa mimba mwanafunzi hata aliye na miaka zaidi ya 18 ziangaliwe upya au zifumuliwe na kusukwa upya.
Sheria zinapaswa kuangalia hata mabadiliko ya nyakati, kwa Sasa ukimuona binti wa miaka 16 na yule miaka 20 kuwatofautisha kimuonekano/maumbile ya nje ni kazi mno vinginevyo uwe mdadis sana...
Mabinti wengi wa Sasa kuanzia miaka 15 na 16 wanajua mambo mengi mno wakati mwingine hata kumzidi binti wa miaka 30...kutokana na ufahamu wao wa mambo mengi wakati mwingine wamekuwa ndio waanzilishi hata kwenye mahusiano na vijana wa kiume waliowazidi, yaani wao ndio wanaleta ushawishi kwa kijana wa kiume ili watongozwe na wawe kwenye mahusiano.
Mahusiano yakianza na yakakomaa ikigundulika kijana wa kiume anajihusisha na mapenzi na binti aliye chini ya miaka 18 huyo adhabu yake kwa mujibu wa sheria ni kifungo cha miaka 30 jela kwani sheria inasema ni ubakaji, lakini pia akiwa binti ni mwanafunzi hata awe zaidi ya miaka 18 bado kijana wa kiume atafungwa jela...na usiombe uwepo ujauzito yaani jela kwa kijana wa kiume ni haraka sana na hakimu atakuhukumu kwa hasira hata kukuongezea kabisa miaka ikibidi.
Hoja yangu kwenye hili naomba hizi sheria zibadilishwe yaangaliwe mazingira yaliyopelekea uwepo wa mahusiano kwamba binti kama aliingia kwenye mahusiano kwa kipindi chote na hakusema wala kushtaki popote kwanini akipata mimba ndio sheria iseme huyo binti kabakwa ikiwa alifanya kwa haiari?
Iwekwe sheria ambayo itawawajibisha wote jinsia ya kike na ya kiume kwa pamoja kama hakuna ujauzito na Kama kuna ujauzito Basi wagawane miaka yaani kama ni miaka 30 Basi iwe 15 kwa mume na 15 kwa mke. Hii itasaidia kuongeza umakini kwa jinsia zote sio kama ilivyo Sasa kwamba kabinti hata kakijitongozesha kwa baharia likitokea baya lolote Basi atakayewajibika ni baharia sio binti ambaye kajileta.
Nimewahi kushuhudia kesi ya binti wa fom 3 kupewa ujauzito akitoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuwa yeye mwenyeyewe ndie alimfuata kijana na ni yeye mwenyewe aliyeingia kwa hiari kwenye mahusiano yaliyopoelekea ujauzito Ila bado sheria ikamkuta na hatia kijana wa kiume na kumpa kifungo cha miaka 30 jela. Inauma Sana.