Sheria za miaka 30 kwa jinsia ya kiume kufungwa kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi au binti aliye zaidi ya miaka 15 imepitwa na wakati

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Kumekuwa na simanzi kubwa na kuongeza idadi ya familia zitakazoishi maisha magumu kutokana na madhaifu ya sheria zetu ambazo zimelenga kukomesha watu badala ya kutatua tatizo.

Sheria inayomfunga kijana miaka 30 kisa tu amempa mimba mwanafunzi hata aliye na miaka zaidi ya 18 ziangaliwe upya au zifumuliwe na kusukwa upya.

Sheria zinapaswa kuangalia hata mabadiliko ya nyakati, kwa Sasa ukimuona binti wa miaka 16 na yule miaka 20 kuwatofautisha kimuonekano/maumbile ya nje ni kazi mno vinginevyo uwe mdadis sana...

Mabinti wengi wa Sasa kuanzia miaka 15 na 16 wanajua mambo mengi mno wakati mwingine hata kumzidi binti wa miaka 30...kutokana na ufahamu wao wa mambo mengi wakati mwingine wamekuwa ndio waanzilishi hata kwenye mahusiano na vijana wa kiume waliowazidi, yaani wao ndio wanaleta ushawishi kwa kijana wa kiume ili watongozwe na wawe kwenye mahusiano.

Mahusiano yakianza na yakakomaa ikigundulika kijana wa kiume anajihusisha na mapenzi na binti aliye chini ya miaka 18 huyo adhabu yake kwa mujibu wa sheria ni kifungo cha miaka 30 jela kwani sheria inasema ni ubakaji, lakini pia akiwa binti ni mwanafunzi hata awe zaidi ya miaka 18 bado kijana wa kiume atafungwa jela...na usiombe uwepo ujauzito yaani jela kwa kijana wa kiume ni haraka sana na hakimu atakuhukumu kwa hasira hata kukuongezea kabisa miaka ikibidi.

Hoja yangu kwenye hili naomba hizi sheria zibadilishwe yaangaliwe mazingira yaliyopelekea uwepo wa mahusiano kwamba binti kama aliingia kwenye mahusiano kwa kipindi chote na hakusema wala kushtaki popote kwanini akipata mimba ndio sheria iseme huyo binti kabakwa ikiwa alifanya kwa haiari?

Iwekwe sheria ambayo itawawajibisha wote jinsia ya kike na ya kiume kwa pamoja kama hakuna ujauzito na Kama kuna ujauzito Basi wagawane miaka yaani kama ni miaka 30 Basi iwe 15 kwa mume na 15 kwa mke. Hii itasaidia kuongeza umakini kwa jinsia zote sio kama ilivyo Sasa kwamba kabinti hata kakijitongozesha kwa baharia likitokea baya lolote Basi atakayewajibika ni baharia sio binti ambaye kajileta.

Nimewahi kushuhudia kesi ya binti wa fom 3 kupewa ujauzito akitoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuwa yeye mwenyeyewe ndie alimfuata kijana na ni yeye mwenyewe aliyeingia kwa hiari kwenye mahusiano yaliyopoelekea ujauzito Ila bado sheria ikamkuta na hatia kijana wa kiume na kumpa kifungo cha miaka 30 jela. Inauma Sana.
 
Hii sheria bado haijakaza vizuri iwe miaka 50. Hakikisha umri wake na kama hasomi kabla hajakutongoza ukakubali au ukamtongoza. Sheria legelege zitaleta maafa pamoja na ukali wake wa miaka 30 bado watu wanawavizia watoto ikilegezwa je?
 
Kumekuwa na simanzi kubwa na kuongeza idadi ya familia zitakazoishi maisha magumu kutokana na madhaifu ya sheria zetu ambazo zimelenga kukomesha watu badala ya kutatua tatizo.

Sheria inayomfunga kijana miaka 30 kisa tu amempa mimba mwanafunzi hata aliye na miaka zaidi ya 18 ziangaliwe upya au zifumuliwe na kusukwa upya.

Sheria zinapaswa kuangalia hata mabadiliko ya nyakati, kwa Sasa ukimuona binti wa miaka 16 na yule miaka 20 kuwatofautisha kimuonekano/maumbile ya nje ni kazi mno vinginevyo uwe mdadis sana...

Mabinti wengi wa Sasa kuanzia miaka 15 na 16 wanajua mambo mengi mno wakati mwingine hata kumzidi binti wa miaka 30...kutokana na ufahamu wao wa mambo mengi wakati mwingine wamekuwa ndio waanzilishi hata kwenye mahusiano na vijana wa kiume waliowazidi, yaani wao ndio wanaleta ushawishi kwa kijana wa kiume ili watongozwe na wawe kwenye mahusiano.

Mahusiano yakianza na yakakomaa ikigundulika kijana wa kiume anajihusisha na mapenzi na binti aliye chini ya miaka 18 huyo adhabu yake kwa mujibu wa sheria ni kifungo cha miaka 30 jela kwani sheria inasema ni ubakaji, lakini pia akiwa binti ni mwanafunzi hata awe zaidi ya miaka 18 bado kijana wa kiume atafungwa jela...na usiombe uwepo ujauzito yaani jela kwa kijana wa kiume ni haraka sana na hakimu atakuhukumu kwa hasira hata kukuongezea kabisa miaka ikibidi.

Hoja yangu kwenye hili naomba hizi sheria zibadilishwe yaangaliwe mazingira yaliyopelekea uwepo wa mahusiano kwamba binti kama aliingia kwenye mahusiano kwa kipindi chote na hakusema wala kushtaki popote kwanini akipata mimba ndio sheria iseme huyo binti kabakwa ikiwa alifanya kwa haiari?

Iwekwe sheria ambayo itawawajibisha wote jinsia ya kike na ya kiume kwa pamoja kama hakuna ujauzito na Kama kuna ujauzito Basi wagawane miaka yaani kama ni miaka 30 Basi iwe 15 kwa mume na 15 kwa mke. Hii itasaidia kuongeza umakini kwa jinsia zote sio kama ilivyo Sasa kwamba kabinti hata kakijitongozesha kwa baharia likitokea baya lolote Basi atakayewajibika ni baharia sio binti ambaye kajileta.

Nimewahi kushuhudia kesi ya binti wa fom 3 kupewa ujauzito akitoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuwa yeye mwenyeyewe ndie alimfuata kijana na ni yeye mwenyewe aliyeingia kwa hiari kwenye mahusiano yaliyopoelekea ujauzito Ila bado sheria ikamkuta na hatia kijana wa kiume na kumpa kifungo cha miaka 30 jela. Inauma Sana.
Sasa wewe tembea tu na huyo binti wa miaka 16, 17, 18, nk. Na awe ni mwanafunzi!! Halafu ukienda mahakamani mbishie Hakimu kupitia hizi hoja zako.

Labda anaweza kukuelewa.
 
Sheria inaonekana kali km baadhi wanavyodai lakini bado watu wanajihusisha na mapenzi na wanafunzi/ wasichana waliochini ya miaka 18, ikilegezwa si ndo itakuwa balaa.

Watu wanasema mtoto atakosa matunzo ya baba, kesi ngapi zipo ustawi wababa wapo tu mtaani na hawataki kutunza watoto wao?

Binti ni mwanafunzi anajitongozesha kwako kataa sio lazima umkubali
 
Miaka 30 jela inafanya watu wamalizane nyumbani, hakuna masikini ambaye atataka kuachiwa mototo na mjukuu wa kulea, huku akifurahi baba mtoto kuozea jela.

Kifungo kipunguzwe kufikia miaka 3-5, hapo watu watafungana kweli. Na hiyo tahadhari itakuwepo kweli kwa wanaume.

Kesi za mimba zinazofika mahakamani hazifiki 5%, na kati ya hizo ambazo wahusika wanafungwa kweli ni chini ya 1%, maana binafsi katika mazingira yangu sijawahi shuhudia.

Kifungo kipungue TUFUNGANE KWELI.
 
Sheria inaonekana kali km baadhi wanavyodai lakini bado watu wanajihusisha na mapenzi na wanafunzi/ wasichana waliochini ya miaka 18, ikilegezwa si ndo itakuwa balaa.

Watu wanasema mtoto atakosa matunzo ya baba, kesi ngapi zipo ustawi wababa wapo tu mtaani na hawataki kutunza watoto wao?

Binti ni mwanafunzi anajitongozesha kwako kataa sio lazima umkubali
Ukali wa sheria ndio unaotoa mwanya wa watu kuikimbia. Wazazi wa watoto wanakutana kilabuni au kwenye bao kila siku, nini kitazuia WASIYAJENGE?

SHERIA HAITEKELEZEKI, ni kama ni sheria tungwa kuwa kitega uchumi cha askari na mahakama na wazazi pia.
 
Sheria inaonekana kali km baadhi wanavyodai lakini bado watu wanajihusisha na mapenzi na wanafunzi/ wasichana waliochini ya miaka 18, ikilegezwa si ndo itakuwa balaa.

Watu wanasema mtoto atakosa matunzo ya baba, kesi ngapi zipo ustawi wababa wapo tu mtaani na hawataki kutunza watoto wao?

Binti ni mwanafunzi anajitongozesha kwako kataa sio lazima umkubali
Na kwani nini yeye akubali wakati anajua vyema ni mwanafunzi?

Alafu wenye kufungwa sio hao waliowabikiri hao wadada. Vitoto vyenyewe vimalaya tu.
 
Kumekuwa na simanzi kubwa na kuongeza idadi ya familia zitakazoishi maisha magumu kutokana na madhaifu ya sheria zetu ambazo zimelenga kukomesha watu badala ya kutatua tatizo.

Sheria inayomfunga kijana miaka 30 kisa tu amempa mimba mwanafunzi hata aliye na miaka zaidi ya 18 ziangaliwe upya au zifumuliwe na kusukwa upya.

Sheria zinapaswa kuangalia hata mabadiliko ya nyakati, kwa Sasa ukimuona binti wa miaka 16 na yule miaka 20 kuwatofautisha kimuonekano/maumbile ya nje ni kazi mno vinginevyo uwe mdadis sana...

Mabinti wengi wa Sasa kuanzia miaka 15 na 16 wanajua mambo mengi mno wakati mwingine hata kumzidi binti wa miaka 30...kutokana na ufahamu wao wa mambo mengi wakati mwingine wamekuwa ndio waanzilishi hata kwenye mahusiano na vijana wa kiume waliowazidi, yaani wao ndio wanaleta ushawishi kwa kijana wa kiume ili watongozwe na wawe kwenye mahusiano.

Mahusiano yakianza na yakakomaa ikigundulika kijana wa kiume anajihusisha na mapenzi na binti aliye chini ya miaka 18 huyo adhabu yake kwa mujibu wa sheria ni kifungo cha miaka 30 jela kwani sheria inasema ni ubakaji, lakini pia akiwa binti ni mwanafunzi hata awe zaidi ya miaka 18 bado kijana wa kiume atafungwa jela...na usiombe uwepo ujauzito yaani jela kwa kijana wa kiume ni haraka sana na hakimu atakuhukumu kwa hasira hata kukuongezea kabisa miaka ikibidi.

Hoja yangu kwenye hili naomba hizi sheria zibadilishwe yaangaliwe mazingira yaliyopelekea uwepo wa mahusiano kwamba binti kama aliingia kwenye mahusiano kwa kipindi chote na hakusema wala kushtaki popote kwanini akipata mimba ndio sheria iseme huyo binti kabakwa ikiwa alifanya kwa haiari?

Iwekwe sheria ambayo itawawajibisha wote jinsia ya kike na ya kiume kwa pamoja kama hakuna ujauzito na Kama kuna ujauzito Basi wagawane miaka yaani kama ni miaka 30 Basi iwe 15 kwa mume na 15 kwa mke. Hii itasaidia kuongeza umakini kwa jinsia zote sio kama ilivyo Sasa kwamba kabinti hata kakijitongozesha kwa baharia likitokea baya lolote Basi atakayewajibika ni baharia sio binti ambaye kajileta.

Nimewahi kushuhudia kesi ya binti wa fom 3 kupewa ujauzito akitoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuwa yeye mwenyeyewe ndie alimfuata kijana na ni yeye mwenyewe aliyeingia kwa hiari kwenye mahusiano yaliyopoelekea ujauzito Ila bado sheria ikamkuta na hatia kijana wa kiume na kumpa kifungo cha miaka 30 jela. Inauma Sana.
Acheni mambo ya kijinga saa zingine
 
Back
Top Bottom