Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,651
Tatizo vijana wengi ni wagumu kuelewa..yaani mtu anapata GPA ya 1.5 bado anaendelea tu kuingia darasani wakati hapo system automatically inakuwa ishakutema!!Hahahaha sheria za kudisco ni upate below GPA 2.0.
Hivyo atakuwa katemwa toka 1st
Sent using Jamii Forums mobile app