billgate98
Member
- May 10, 2018
- 54
- 28
Duh hapa public noma aisee
Duh hapa public noma aisee
sasa wewe hiyo (1.5+0.7)%2 sasa unapata GPA ya 2.0Kuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na GPA 0.7 me nildhan kudisco hadi ushindwe kufikisha 2.1
Huyo ndugu yako ni haki yake ..maana GPA yake ni ndogo sanaaaaaaaaKuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na GPA 0.7 me nildhan kudisco hadi ushindwe kufikisha 2.1
Sasa itakuwaje???
Sasa itakuwaje?
Chukua hizo GPA alizopata jumlisha halafu gawa kwa Mbili (2) uone km kafika hyo 1.8.Kuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na GPA 0.7 me nildhan kudisco hadi ushindwe kufikisha 2.1
sasa mbona ukijumlisha hizo GPA zinakuja 2.2Hahahaha sheria za kudisco ni upate below GPA 2.0.
Hivyo atakuwa katemwa toka 1st
Sent using Jamii Forums mobile app
Gawa kwa 2 utapat majibu ya CGPA yakesasa mbona ukijumlisha hizo GPA zinakuja 2.2
sasa mbona ukijumlisha hizo GPA zinakuja 2.2
Alikuwa kilaza sanaKuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na GPA 0.7 me nildhan kudisco hadi ushindwe kufikisha 2.1
Huyo naye anayeuliza hajui lolote.....Izo GPA ukitafta wastanu ata 1.7 haifiki
sure, kama yeye yupo hivi ndugu yake yukoje dah..!Huyo naye anayeuliza hajui lolote.....