Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Inawezekanaje kuzuia watu kujaa kwenye daladala (overcapacity) ili hali hata mwendokasi imekuwa designed kimamisha watu. Nchi haina speed governor/limit
hii thread ni kiboko,"kimamisha watu"
 
Uliona balabala ya wapi ambako magali yanajaza abilia mpaka mrangoni? Urichukua hatua gani? Wewe nawe eti wajiita UrbanGentleman hapana wewe utakuwa "ulbangentreman"
Hatua gani tena??
 
hebu hakiki taarifa yako kwanza maana una tia hasira!

inaitwa barabara na pia ni mbagala na sio mbagara tena ni gongo la mboto na si gongo la mbota...hayo ni yangu kwa sasa

itakua balabala ya mologolo load

Balabalani ndo vitu gani!?!?

Kweli hii ndo JF ukiskia nyingine photocopy.. Ukandika post unaikagua mara mbili mbili maana kuna wadau wao wanacheki ulipobugi tu.... Napita tu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa. Tujibu hoja za mleta mada, baada ya mafrekebisho yenu hayo.
 
pole kwa kurejeshwa shule kwa nguvu, ila nikueleweshe tu kuwa nchi nyingi mabasi ya abiria wa mijini(city buses) huwa yanaruhusiwa kusimamisha abiria, japo sio kwa sana kama miji mingi ya kiafrika ilivyo.
 
Kwa nini kwanza gari binafsi ibebe watu kuliko kiwango chake? Kwani ni ya biashara hiyo?
 
Inashangaza!!! Askari anakukamata, mko wawili tu kwenye gari, eti abiria wako wa mbele hajafunga mkanda kama wewe dereva, anakuandikia faini ya 30,000. Wakati unalipa "daladala" inapita watu 30 amefunga mkanda dereva peke yake, 29 hawajafunga - hawakamatwi!!. Really st...!!
 
wewe kusoma na kuandika ni shida sheria za barabarani umezijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…