Sheria ya udom na heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya udom na heslb

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Sir M.D.Andrew, Jul 30, 2012.

 1. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika vyuo vyote ulimwengu kozi ya sheria inachukuliwa kuwa mihimu na nyeti,ili mwanafunzi awe na sifa ya kupewa shahada ya kwanza ni lazima afanye utafiti na hatimaye aandike ripoti ya utafiti wake ktk eneo lolote la kisheria,serikali hugharimia zoezi hili kupitia bodi ya mikopo,imekuwa hivyo hata hapa tanzania,tatizo linalonipa wasiwasi ni kwa bodi ya mikopo kuwatelekeza wanafunzi wa sheria wa UDOM mwaka wa tatu,wako kwenye utafiti ilhali wamenyimwa pesa za utafiti huo wakati ambapo vyuo vingine wanapewa kulingana na asilimia za mkopo?swali ni je,tunaweka mazingira gani kwa wasomi hawa hapo baadaye?chuo hiki kinaonekana kukosa ufuatiliaji wa mambo muhimu ya wanafunzi,au bodi ya mkopo haitambui uwepo wa sheria UDOM?yeyote mwenye hoja aseme siyo majungu
   
Loading...