Sheria ya Mungu na utashi wa Baba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya Mungu na utashi wa Baba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andrew Nyerere, May 26, 2010.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  May 26, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Andrew alikuwa anahangaika sana na kazi ya kurekebisha matatizo yaliyokuwa yanatokea mara kwa mara kutokana na kutoelewana na kutokubaliana kati ya wafuasi wa Yohana na wafuasi wapya wa Yesu. Matatizo makubwa yalitokea kila baada ya siku chache,lakini Andrew,kwa kushirikiana na wenzake mitume,alifanikiwa kuwafanya wanaogombana wafikie muafaka fulani,hata kama wa muda tu.Yesu alikataa kushiriki katika hivi vikao,wala hakutoa ushauri jinsi ya kutanzua. Hata mara moja hakutoa mapendekezo kwa mitume jinsi ya kuyatanzua haya matatizo magumu.Andrew alipokuja kwa Yesu,na haya matatizo,alisema kila mara,''Si jambo la busara kwa mwenyeji kushiriki katika matatizo ya familia ya wageni wake;mzazi mwenye hekima hachukui upande katika magomvi madogo madogo ya watoto wake mwenyewe.''

  Walipokuwa Amathus,Thomas alimuuliza Yesu,''Ni nani huyu Mungu wa ufalme?''Yesu akajibu,''Mungu ni Baba yako ,na dini-injili yangu-siyo kitu chochote zaidi ya kuamini na kutambua ukweli kwamba wewe ni mtoto wake.Na mimi nipo hapa katika mwili kuyaweka wazi haya mawazo katika maisha yangu na mafundisho yangu.''

  Pia walipokuwa Amathus walijadili kuhusu umoja wa kiroho. James Zebedee aliuliza,''Bwana,tunawezaje kuwa na mtazamo mmoja ili tuweze kuishi kwa muafaka zaidi? '' Yesu aliposikia hili swali alisisimka sana rohoni mwake,kiasi kwamba alijibu,''James,James,lini nimewafundisha kwamba wote mnapaswa kuwa na mtazamo mmoja?Nimekuja duniani kutangaza uhuru wa roho ili watu wote wawe na uwezo wa kuishi maisha ya uhuru na kipekee[originality]mbele ya Mungu.Sitaki muafaka wa kijamii na undugu wa amani ununuliwe kwa kutoa sadaka[sacrifice of ]nafsi ambayo ni uhuru na roho ya kipekee[spiritual originality]. Ninachotaka kutoka kwenu ,wafuasi wangu,ni umoja wa kiroho-na ili muwe na furaha kwa kujitoa kwa pamoja na kwa moyo wote kufanya utashi wa Baba yangu mbinguni. Siyo lazima wote muone,au muhisi au mfikiri sawa sawa,ili kufanana kiroho.

  ''Umoja wa kiroho unatokana na kuelewa kwamba kila mmoja anakaliwa ndani yake,na anatawaliwa zaidi na zaidi,na zawadi ya roho ya Baba wa mbinguni.Muafaka wenu utokane na kuelewa kwamba matumaini ya roho ya kila mmoja wenu yanafanana katika chanzo chake,maumbile yake,na hatima yake[origin,nature and destiny].

  Kwa njia hii mnaweza kuwa na umoja uliokamilika wa nia ya kiroho na ufahamu wa kiroho,baada ya kuelewa kwamba katika kila mmoja wenu ipo roho kutoka Paradiso;na mnaweza kuwa na huu umoja wa kiroho ingawa,mnatofautiana; katika kufikiri kwenu,hisia zenu na tabia za kijamii.Nafsi zenu zinaweza kuwa tofauti,lakini katika asili zenu za kiroho na matunda yenu ya kiroho,ya ibada takatifu na upendo wa kindugu, mnaweza kuwa wamoja kiasi kwamba wote wanaotazama maisha yenu kwa hakika wataona asili ya kiroho na umoja wa kiroho;wataelewa kwamba mlikuwa na mimi,na mmejifunza,tena mmejifunza vyema,jinsi ya kufanya utashi wa Baba wa mbinguni,mnaweza kuwa na umoja katika utumishi hata mnapofanya huo utumishi kwa njia zenu;uwezo wenu wa kipekee wa akili,mwili na roho.

  ''Umoja wenu wa kiroho una maana mbili;kwanza,wote mna lengo la pamoja la kutaka kutumikia,wote mnataka kufanya utashi wa Baba aliye mbinguni. Pili,wote mna wazo moja kuhusu lengo la kuishi,mnataka kumtafuta Baba mbinguni ili muweze kuthibitisha kwa mbingu[Universe]kwamba mmekuwa kama yeye.''

  Walipokuwa Amathus,Simon Zelote,akamleta Mshirazi mmoja,Teherma,kufundishwa na Yesu.

  Baadaye Simon na Yesu walipokuwa peke yao,Simon akamuuliza Yesu,''Bwana,kwa nini mimi nilishindwa kumshawishi? Kwa nini alinipinga,lakini alikusikiliza wewe?''Yesu akajibu,''Simon,Simon,mara ngapi nimekueleza uache kutoa kutoka katika mioyo ya watu wanaotafuta wokovu. Mara ngapi nimekuambia ufanye tu kazi ya kuweka vitu ndani ya roho zenye njaa. Waongoze watu kwenye ufalme,na kweli zilizo hai za ufalme zitaondoa makosa yote makubwa. Ukimwambia mtu kwamba Mungu ni Baba yake,itakuwa rahisi kumwambia kwamba yeye ni mtoto wa Mungu. Na ukifanya hivyo utakuwa umeleta taa ya wokovu kwa mtu aliyekuwa amekaa katika giza.Simon,Mwana wa Mtu alikuja anaishamblia sheria ya Mose na Manabii na kutangaza maisha mazuri na mapya?Hapana.Sikuja kuondoa kile mlichopewa na wahenga isipokuwa kuwaonyesha njia iliyokamilika ambayo baba zenu waliiona kwa kiasi tu. Kwa hiyo,nenda,Simon,kuufundisha na kuuhubiri ufalme,na ukimweka mtu kwa usalama na kwa uhakika ndani ya ufalme,,huo,ndio wakati,kama huyo atakuja na maswali,kumpa maagizo ya jinsi ya kupata maendeleo ya roho,hatua kwa hatua,katika ufalme.''

  Simon alishangazwa na haya maneno,lakini alifanya kama Yesu alivyoagiza,na,Teherma,yule Mshirazi,akahesabika miongoni mwa wale walioingia katika ufalme.

  Usiku ule,Yesu aliongea na mitume kuhusu maisha mapya katika ufalme.Pamoja na maneno mengine alisema,''Unapoingia katika ufalme,unazaliwa upya. Huwezi kufundisha mambo ya kina ya kiroho kwa wale ambao wamezaliwa katika mwili;hakikisha kwanza watu wanazaliwa katika roho kabla ya kuanza kuwafundisha mambo ya juu ya kiroho. Usijaribu kuwaonyesha watu maajabu ya Hekalu kabla hujawaingiza katika Hekalu. Watambulishe watu kwa Mungu na kama watoto wa Mungu kabla ya kuanza kuwafundisha kwamba Mungu ni Baba yao na wao ni watoto wake.Usigombane na watu. Huu sio ufalme wako,wewe ni balozi tu,wewe fundisha tu;'Huu ni ufalme wa mbinguni-Mungu ni Baba yako na wewe ni mtoto wake na hii habari nzuri,ukiiamini kwa moyo wote,ndio wokovu wako wa milele.''

  Mitume walipata maendeleo sana walipokuwa Amathus. Lakini hawakupendezwa jinsi ambavyo Yesu hakutoa mapendekezo juu ya jinsi ya kuwashughulikia wafuasi wa Yohana. Hata katika jambo muhimu la ubatizo,Yesu hakusema lolote zaidi tu alisema,''Yohana aliwabatiza kwa maji,lakini ukiingia katika ufalme wa Mungu utabatizwa kwa Roho.''
   
 2. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  uyu jamaa sijamwelewa.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na hutamwelewa!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Aisee mi nilidhani niko peke yangu bongolala.. niliomba shule hapa kumbe tuko wengi
   
 5. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Vipi anausifu Ukristo na Yesu na Kuudharau UIslamu na Mtume Mohamad (SAW)? Haiko straight forward ila nimeipenda kunakitu nimeokota cha maana kabisa. Unapomshawishi mtu usimtukane wala kumdharau bali mwingie taratibu kwa kutumia vitu vyepesi anavyoweza kuelewa haraka na kukubaliana na wewe.
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ganesh, were you ever thrown out of a priesthood seminary at some point in your life?
   
 7. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  uyu jamaa sidhani kama anaelewa anachoongea, na lengo lake hata sijalielewa. sijui anaquote wapi mistari hii, manake Bible ya kihivyo sijawai kuiona. pia, sijui lengo lake anataka kufanya nini, anataka kuwaconvince watu wafanye nini....hakuna cha maana anachoongea hapo kwa upande wangu, kwasababu haelezei nini anafanya, bali anachukua limstari fulani toka no where analiweka liaya lote hapo..basi kama anahubiri awe anafafanue ili wasikilizaji wawe wanaona. nilipoiona hii, nimecheki profile yake na vyote alivyowai kuviweka, nimeona madudu matupu tangu aaanze kupost vitu hapo, ni vya hivyohivyo tu na haeleweki lengo lake ninini, ni mtu wa Mungu, au washetani haeleweki.

  basi tu kwasababu kila mtu anao uhuru wa kuongea. ila ni wa kumpuuzia nami nikisema kwa uhuru wangu wa kuongea.
   
 8. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  As soon as the King Messiah will declare himself, He will destroy Rome and make a wilderness of it. Thorns and weeds will grow in the Pope's palace.
  Then He will start a merciless war on non-Jews and will overpower them. He will slay them in masses, kill their kings and lay waste the whole Roman land. He will say to the Jews:'I am the King Messiah for whom you have been waiting. Take the Silver and Gold from the Goyim.'" - Josiah 60, 6 Rabbi Abarbanel to Daniel 7, 13.
   
 9. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hawa ni wapinga kristo, waepukeni.
   
 10. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  "It is the law to kill anyone who denies the Torah. The Christians belong to the denying ones of the Torah." Coschen Hamischpat, Hagah 425
   
 11. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Na Bwana Yesu Mwana wa Mungu alisema watatokea manabii wa Uongo! Huyu jamaa nadhani katokea huko,suala la Mungu kwa namna moja ama nyingine unaweza ukalielewa kadri Mungu anavyokufahamisha kusudi lake. Lkn hapa naona kumekwenda kushoto zaidi!
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  no.huyu jamaa nafikiri aliasi upadre,sasa mbongo iko shida tummwombee jamani
   
 13. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Mbona sijaona chochote cha Kumuasi Mungu katika maandiko yake, labda cha kumuuliza mwenzetu ni katika kitabu gani anapata haya maandishi. Lkn kumuita mpinga kristo no tutakuwa tunahukumu mazee.
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  huyu NI SIDEEQ, KABADILISHA JINA TU. ndio maana hajawai kujibu swali lolote alilowai kuulizwa. anakuja hapa anaharibu hali ya hewa halafu anaendelea kwenye jina lake halisi la sideeq, lengo lake ni kuchafua ukristo. anahangaika!
   
 15. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona wenye lengo la kuuchafua Ukristo ni wengi tu?:
  Jews must destroy the books of the Christians, i.e. the New Testament.Shabbath 116a
   
 16. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  na hautakuja kumwelewa, labda ufanane naye mtazamo na mlengo wa mawazo
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ameishiwa hatafanikiwa hata kwa punje, walishindwa kina M Deedat atakuwa Sadeeq? ataishia kukopi vitabu vya Talmud tu,
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kwa vile kwetu mbagalaaaa.hapa nyumba mbele jalalaaa!!

  hali ya herwa sio nzuri
   
 19. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa kama ni wewe sideeq, kwanini unahangakia kubadilishabadilisha majina ili kuharibu hali ya hewa...mbona unapoteza muda ndugu yangu, umekosa cha kufanya? kulingana na majibu yako hapo ulipomjibu ubungo, naona kama kweli wewe unayempinga Kristo hapa ni sideeq na lengo lako ni kuuchafua ukristo mwanzo hadi mwisho. ni bora tumekufahamu hivyo tuta ignore tu.
   
 20. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  "The Talmud is to this day the circulating heart's blood of the Jewish religion. Whatever laws, customs, or ceremonies we observe-whether we are Orthodox, Conservative, Reform, or merely spasmodic sentimentalists-we follow the Talmud. It is our common law." - Herman Wouk, This is My God.
  Je, inasemaje Talmud?!
  A Jew may do to a non-Jewess what he can do. He may treat her as he treats a piece of meat." Hadarine, 20, B; Schulchan 9ruch, Choszen Hamiszpat 348
   
Loading...