Sheria ya makosa ya jinai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya makosa ya jinai

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by tallnoma, Sep 16, 2012.

 1. t

  tallnoma Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  jamii ya kitanzania inatakiwakuelemishwa jinsi sheria zetu baadhi zinavyokinzana zenyewe, mfano katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inampa mtanzania HAKI YA KUISHI ,ukirudi kwenye SHERIA YA MAKOSA YA JINAI kuna adhabu HUKUMU YA KIFO ilohalalishwa na kupoteza mana ya haki ya kuishi
   
Loading...