ub na ug huwa haudumu ndiyo maana wanaingia kwenye ndoa kabla ya umriNdoa ziangalie realities, baadhi ya sheria zitadisturb social equillibrium na kujikuta taasisi ya ndoa inatupiliwa mbali watu badala yake wakaopt ugirlfriend na uboyfriend hususan huko vijijini
uchagani hukabidhiwi mke kama huna miaka 30 tofauti na kwingine kama wamasai, wasukuma, wamakonde ukimaliza tu std 7 unaruhusiwa kuoa/kuolewa.Ndoa ziangalie realities, baadhi ya sheria zitadisturb social equillibrium na kujikuta taasisi ya ndoa inatupiliwa mbali watu badala yake wakaopt ugirlfriend na uboyfriend hususan huko vijijini
uchagani hukabidhiwi mke kama huna miaka 30 tofauti na kwingine kama wamasai, wasukuma, wamakonde ukimaliza tu std 7 unaruhusiwa kuoa/kuolewa.
siyo utamaduni wetu, hao ilikuwa ajali.Sijajua uchaga ipi lakini nina ushuhuda nikiwa Umbwe Boys(Kibosho) ilishawahi tokea mwanafunzi mwenzetu alimpa mimba binti wa kichaga mtaani na alikuwa mwanafunzi mbona jamaa alilazimishwa na wazazi jamaa abebe mke wake akishamiliza mtihani( ilikuwa tunafanya mtihani wa taifa form six) nakumbuka jamaa tulimtania sana alikuwa mtu wa Mbeya. Ukiniambia hupewi mke labda sehemu zingine za uchagani ila nishaona vijana wadogo wa kichaga wameoa.
Hadi leo? Tumemuozesha kijana na kumpatia mke akiwa chini ya umri huo.uchagani hukabidhiwi mke kama huna miaka 30 tofauti na kwingine kama wamasai, wasukuma, wamakonde ukimaliza tu std 7 unaruhusiwa kuoa/kuolewa.
mtu kamaliza la saba akiwa na umri wa miaka 13,hajaendelea na masomo,akitokea mtu anataka kumuoa akiwa na 16 akatae hadi afike 18!..tunapingana na reality na ni lazima tushindweHadi leo? Tumemuozesha kijana na kumpatia mke akiwa chini ya umri huo.
Mambo ya zamani hayo
Mahakama kuu ya TanzaniaHii sheria ina husu na Zanzibar ?? Maana Pemba vitoto vya miaka 13 yatari vinaozeshwa
Kwani Tanzania si barafaaa na visiwani?Mahakama kuu ya Tanzania
Ila kwa visiwani na ukanda wa mwambao sheria hii si rahisi kutekelezeka