Sheria ya kuoa/kuolewa chini ya miaka 18 yaja.

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa serikali mwaka mmoja kufanya marekebisho kwenye sheria ya ndoa ambapo mwanaume atakayeoa akiwa na umri wa chini ya miaka 18 akabiliwe na adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, vivyo hivyo kwa mwanamke atakayeolewa akiwa na umri wa chini ya miaka 18.

Source: BBC habari.

Kama hujaoa/kuolewa jipange! Wabongo wanavyopenda ngono itabidi ianzishwe mahakama maalum ya kushughulikia watu wa aina hii.

Serikali iangalie pia hawa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa ni wengi na wanaweza wakawa cha ndoa hizo kwani hutelekezwa wakiwa wadogo. Siku hizi watoto wa nje imekuwa kama ndo fashion kwenye jamii, hakuna wa kukemea hawa dada zetu na watoto wetu!
 
Ndoa ziangalie realities, baadhi ya sheria zitadisturb social equillibrium na kujikuta taasisi ya ndoa inatupiliwa mbali watu badala yake wakaopt ugirlfriend na uboyfriend hususan huko vijijini
 
ub na ug huwa haudumu ndiyo maana wanaingia kwenye ndoa kabla ya umri
 
Ndoa ziangalie realities, baadhi ya sheria zitadisturb social equillibrium na kujikuta taasisi ya ndoa inatupiliwa mbali watu badala yake wakaopt ugirlfriend na uboyfriend hususan huko vijijini
uchagani hukabidhiwi mke kama huna miaka 30 tofauti na kwingine kama wamasai, wasukuma, wamakonde ukimaliza tu std 7 unaruhusiwa kuoa/kuolewa.
 
Sijajua uchaga ipi lakini nina ushuhuda nikiwa Umbwe Boys(Kibosho) ilishawahi tokea mwanafunzi mwenzetu alimpa mimba binti wa kichaga mtaani na alikuwa mwanafunzi mbona jamaa alilazimishwa na wazazi jamaa abebe mke wake akishamiliza mtihani( ilikuwa tunafanya mtihani wa taifa form six) nakumbuka jamaa tulimtania sana alikuwa mtu wa Mbeya. Ukiniambia hupewi mke labda sehemu zingine za uchagani ila nishaona vijana wadogo wa kichaga wameoa.
 
siyo utamaduni wetu, hao ilikuwa ajali.
 
uchagani hukabidhiwi mke kama huna miaka 30 tofauti na kwingine kama wamasai, wasukuma, wamakonde ukimaliza tu std 7 unaruhusiwa kuoa/kuolewa.
Hadi leo? Tumemuozesha kijana na kumpatia mke akiwa chini ya umri huo.

Mambo ya zamani hayo
 
mtu kamaliza la saba akiwa na umri wa miaka 13,hajaendelea na masomo,akitokea mtu anataka kumuoa akiwa na 16 akatae hadi afike 18!..tunapingana na reality na ni lazima tushindwe
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom