sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa serikali mwaka mmoja kufanya marekebisho kwenye sheria ya ndoa ambapo mwanaume atakayeoa akiwa na umri wa chini ya miaka 18 akabiliwe na adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, vivyo hivyo kwa mwanamke atakayeolewa akiwa na umri wa chini ya miaka 18.
Source: BBC habari.
Kama hujaoa/kuolewa jipange! Wabongo wanavyopenda ngono itabidi ianzishwe mahakama maalum ya kushughulikia watu wa aina hii.
Serikali iangalie pia hawa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa ni wengi na wanaweza wakawa cha ndoa hizo kwani hutelekezwa wakiwa wadogo. Siku hizi watoto wa nje imekuwa kama ndo fashion kwenye jamii, hakuna wa kukemea hawa dada zetu na watoto wetu!