Sheria ya kiswahili ni haramu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya kiswahili ni haramu...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Aloysius, Aug 3, 2011.

 1. Aloysius

  Aloysius Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eti wanasheria, najua hamna majibu uliza babu zenu kuwa kisawhili kiliwakosea nini nyinyi wanasheria halafu kwa mapenzi makubwa mniletee majibu. Katika chungulia chungulia yangu nilibaini mambo yafuatayo (mbali na mahakama ya Mwanzo), Eti kumbe hakimu, akiwasikiliza wanaowakilisha ushahidi kwa kiswahili huwa anaandika kwa kiingereza. (kuna accuracy hapo).


  Eti tena wakati wakuandaa hukumu yake atatakiwa atumie ushahidi wote uliokwa kiswahili haufanye urudi kwa kiingereza, Eti tena wakati wakusoma hukumu atajitahidi yale aliyoyaandika kwa kiingereza ayawasilishe kwa kiswahili.


  BAADAE wahusika ilikuelewa zaidi watahitaji kutafsiriwa. WHHHHHHHHHHHHHHHHHHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEERRRRRRRRRRRRRRRRE IIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIS JJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJUUUUUUUUUSSSSSSSSSSSSSSSSSSTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIICCCCCCCCCCCCCEEEEEEEEEE???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hwre my dears, why is Justice hidden in the western toungue, what have Swahili done to lawyers for God sake?

  What a menace? why dont assume a more systematic and predictable life style than the Chai MAharage chai Maharage. Kawaulize akina babu zenu Chenge n.k mniletee majibu by kesho saa kama hizi.
   
Loading...