Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Jamani Naomba Ufafanuzi, Kwa Wanaojua Sheria Ya Ajira Kifungu Cha 20(4) Kinachohusu "Saa Za Usiku" Namna Inavyotakiwa Kulipwa?
saa za usiku kwa maana ya shift kwamba mchana hufanyi kazi lakini unafanya usiku au ni overtime. Kama ni shift basi unalipwa kama kawaida inakuwa tu umebadili masaa ya kufanya kazi badala ya kufanya mchana masaa manane unafanya usiku masaa manane (mfano).Jamani Naomba Ufafanuzi, Kwa Wanaojua Sheria Ya Ajira Kifungu Cha 20(4) Kinachohusu "Saa Za Usiku" Namna Inavyotakiwa Kulipwa?