Sheria ya 1979 inasemaje

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Wakuu naomba kujua sheria hii ya mipango miji ya mwaka 1979 kuhusiana na mambo yafuatayo hasa juu ya makazi ..
Umbali gani unaruhusiwa kufanya shughli au ujenzi kutoka
1. Miundo mbinu ya maji
2. Vyanzo vya maji kama mito
3. Barabara etc
 
Back
Top Bottom