Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 26, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Wahadhiri wa kike wa Sheria-UDSM ni wachache sana. Wanabanwa na GPA(kwakuwa inatakiwa 3.8 na zaidi). Tangu mwaka 2007,hakuna Mhadhiri hata mmoja wa kike aliyeajiriwa.Hakuwa pia hata mwanafunzi mmoja wa kike aliyefika wastani wa 3.8 tangu mwaka huo.

  Hadi sasa,UDSM upande wa Sheria ina Wahadhiri wanapita 60.Lakini kati yao,wanawake ni wafuatao tu: 1. Dr.T. Ackson-ambaye ni Naibu Mkuu wa Kitivo 2. Dr. Asha-Rose Migiro 3. Dr. Mwaipopo 4. Miss Asina Omari 5. Miss Lucy Eusebio 6. Miss Massabo.Basi. Waliobaki wote ni wa kiume.

  Wanawake vipi jamani? GPA hii ni kubwa? Fungukeni....
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,888
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje wadadavue.
   
 3. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Sijui utaratibu wa sasa, lakini zamani ukiwa na GPA inayotosha unabaki pale kuwa TA. nasikia sasa mtindo huo hakuna hata kama umepata GPA ya 5.0 mpaka uombe ukubaliwe/ukataliwe. Zamani ilikuwa ni sheria kubalki pale ukiwa na stipulated GPA. Si ajabu wanapata lakini wanakataliwa, ukiweka na rushwa, rushwa ya ngono etc!!!
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mkuu utaratibu bado ni huohuo.Wote wanaopata 3.8 huitwa kwa ajili ya Uhadhiri.Ni formality tu kuita na kumsikiliza.Hakuna aliyewahi kuachwa. Tatizo kwa miaka mingi sasa hakuna mwanamke aliyefika 3.8 na kuendelea...
   
 5. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tulia ni NAIBU MKUU WA KITIVO?
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ndio (Associate Dean kwa kimombo)...
   
 7. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Then hapo kuna tatizo, lazima kuliangalia. If needs GPA ishushwe kidogo ingawa wasomi watakuwa mbogo and hata mhusika inaweza kumjengea inferiority complex katika community of academicians!!!
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio hivyo...sasa hivi mpaka uombe, watakuambia unastahili kubakia lakini wanakuambia wanaangalia budget waliyopewa kuajiri waalimu wapya...zamani walikuwa wanaruhusiwa kuajiri moja kwa moja...lakini sasa hivi sivyo hadi tume ya utumishi ...nina evidence lakini siwezi kukupa humu!
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ..aise mi napita..mangwini uwanja wenu...
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ..aise mi napita..mangwini uwanja wenu...
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Nasisitiza: hakuna aliyeomba akiwa na 3.8 ya UDSM halafu akakosa. Ni utaratibu tu huo wa kuita na kuchuja. Kimsingi,huchujwa wa Vyuo vingine tu. Issue ni kuwa kwa miaka mingi hakuna mwanamke aliyepata 3.8 na kuendelea ya UDSM...
   
 12. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Exams are not perfect way to measure someones ability,huwa sipendi sana kumkosesha mtu kazi coz of GPA.Hii imesababisha nowdays baadhi ya vyuo watu wana GPA kubwa ila hawagongi vitu.Sheria sijui siku hizi,zamani walikuwa hawatumii semister system.I mean mitihani yao inafanyika mwisho wa mwaka so wengi hawaperform vizuri coz paper zinakuwa nyingi.Mi naamini ktk uwezo wa mtu "kudeliver" vitu na si GPA ingawa si wote wenye GPA kubwa hawagongi vitu.wengine wana GPA ndogo coz walikuwa faithful na kuna watu wana GPA kubwa ila ni za collabo aka featuring(walidesa).So mtu awe interviewed aangaliwe uwezo wake wa kudeliver.Someone's ability to solve problems is seen when the problems occur and not otherwise.
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasichana/wanawake hawafikii hiyo GPA ya 3.8? Ni hapo UDSM tu au ni vyuo vyote kwa fani ya sheria?
   
 14. d

  daisy Senior Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sio kweli kuhusu rushwa ya ngono na nakuomba ukanushe hilo, hao uliowataja wamepata hizo nafaisi za kubaki pale on merits and not otherwise.
   
 15. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  napita tu
   
 16. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ..jamani LAW someni koote but sio UDSM! ka unataka utoke na ki.g.p.a cha ajajb ajbu,jipeleke mule! He he he he! Yan pale ni mchakamchaka mwanzo mwisho! Inatia hasira,lakin ndo ivo ngumu kumeza..! Ila mwsho wa cku,una kua compitent...itazingua ktk kupata kazi cuz of g.p.a
  kwanza COURSE WORK =20%,EXAM FINAL=80%! wakati vyuo vngne 50% kwa 50%!

  ila m2 aktaka gpa za maana..MU,SAUT,Tumain,Ruco..!
   
 17. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  tuangalie hata bidii huko vyuoni wanasoma kwa bidii?
   
 18. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mpigamsuli,karibia Maktaba kuu ya UDSM ujiridhishe..
   
 19. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mpigamsuli kuna mtu aliomba upigwe ban, vipi ukupata ka-request kutoka kwa mods??? :yawn:
   
 20. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  vuat-nkuvute,nije maktaba kuu ya udsm? nijiridhishe kama mabint wanapiga msuli au la! labda wapo maktab wanasoma udaku?
   
Loading...