Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,299
- 29,189
Life is too shortkama yeye anajifanya ni mtu muhimu sana hata wewe ni muhimu vile vile
Meseji zisipojibiwa mtongoz rafiki yakeSheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano
Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa anazipuuza basi usimtumie meseji zako,na ni dalili tosha kwamba hayupo interested na wewe period
Sheria namba mbili, je huwa anatumia mda gani kujibu meseji zako,kuna yule mtu ukimtumia meseji huchukua masaa mawili hadi matatu kujibu meseji,basi nawe nenda nae sawa,akitokea kukutumia nawe nenda nae sawa vile kama anavyofanya,kama anajibu fasta nawe jibu fasta,kama baada ya dakika tano nawe hivyo hivyo,malegend tunaweza hilo ila vitoto vya elfu mbili najua hamnielewi
Sheria namba tatu, usitume meseji nyingine kama ya mwanzo haijajibiwa,maana kuna ile umetuma ya kwanza hola hakuna majibu unatuma nyingine,hapana hapo unafeli,kausha hata siku moja au mbili zipite,maadamu text ya kwanza haijajibiwa basi usitume nyingine
kama yeye anajifanya ni mtu muhimu sana hata wewe ni muhimu vile vile
Ni hayo tu!
Yeah ni kweli kabisa,kila mtu ana umuhimu wake kwahiyo tusiruhusu mtu mwingine ajipe sana umuhimu,wanao tupenda watatupa tu umuhimu wetu tunao stahiliLife is too short
Hakahaka kashort tukatumie vibaya kwa kung'ang'ania wapita njia wenzetu!? ...hapana hapana.
Wewe ni mbora sana ...mnendaa!
Hakika 👊Yeah ni kweli kabisa,kila mtu ana umuhimu wake kwahiyo tusiruhusu mtu mwingine ajipe sana umuhimu,wanao tupenda watatupa tu umuhimu wetu tunao stahili
Hata kama utafanya hivyo ingawa sio poa,ila sheria zitabaki pale paleMeseji zisipojibiwa mtongoz rafiki yake
Naona umeamua kuuanika mfumo wangu hadharani, staki shobo kabisa.Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano
Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa anazipuuza basi usimtumie meseji zako,na ni dalili tosha kwamba hayupo interested na wewe period
Sheria namba mbili, je huwa anatumia mda gani kujibu meseji zako,kuna yule mtu ukimtumia meseji huchukua masaa mawili hadi matatu kujibu meseji,basi nawe nenda nae sawa,akitokea kukutumia nawe nenda nae sawa vile kama anavyofanya,kama anajibu fasta nawe jibu fasta,kama baada ya dakika tano nawe hivyo hivyo,malegend tunaweza hilo ila vitoto vya elfu mbili najua hamnielewi
Sheria namba tatu, usitume meseji nyingine kama ya mwanzo haijajibiwa,maana kuna ile umetuma ya kwanza hola hakuna majibu unatuma nyingine,hapana hapo unafeli,kausha hata siku moja au mbili zipite,maadamu text ya kwanza haijajibiwa basi usitume nyingine
kama yeye anajifanya ni mtu muhimu sana hata wewe ni muhimu vile vile
Ni hayo tu!
Kama ndio mfumo wako basi big up sana bossN
Naona umeamua kuuanika mfumo wangu hadharani, staki shobo kabisa.
Nimeipenda hii ubaya ubwelaHiyo namba mbili kuna demu mmoja alidhani labda mimi mshamba wa mapenzi sijui? Aisee nikimtumia message moja hasomi mpaka week inaisha ndo anaisoma na kujibu, na mimi nikawa nafanya zaidi yake yani najibu message baada ya week mbili mpaka akakimbia mwenyewe kudadeki.
Kama alikuwa anatest mitambo ndio anajua kuwa jamaa yupo full charge.Hiyo namba mbili kuna demu mmoja alidhani labda mimi mshamba wa mapenzi sijui? Aisee nikimtumia message moja hasomi mpaka week inaisha ndo anaisoma na kujibu, na mimi nikawa nafanya zaidi yake yani najibu message baada ya week mbili mpaka akakimbia mwenyewe kudadeki.
Sahivi kabaki kuview status zangu tu na wala sifuti namba yake ila nimemuonesha kwamba yeye si chochote.Nimeipenda hii ubaya ubwela
Wewe ni legend safi sana,lazima tutambue thamani yetu,kuna samaki wengi sana baharini,huyu akikwepa chambo utampata mwingineSahivi kabaki kuview status zangu tu na wala sifuti namba yake ila nimemuonesha kwamba yeye si chochote.
Formula tuliyokubaliana ni Jino kwa Jino, yaani unipige jino alafu utegemee mimi nikulambe na ulimi! Thubutu yako...utakula meno kabisa. "you reap what you sow"Kama ndio mfumo wako basi big up sana boss
Dah mwanangu mimi mbona ni wote Sasa hawajibu mzee naweza omba demu baadaye nashangaa nimekula blockWewe ni legend safi sana,lazima tutambue thamani yetu,kuna samaki wengi sana baharini,huyu akikwepa chambo utampata mwingine
Hao tambua hawakuwa kwa ajili yako boss,ukimpata ambaye yupo kwa ajili yako basi utafurahi na kuyaona mambo yanakuwa mepesi sanaDah mwanangu mimi mbona ni wote Sasa hawajibu mzee naweza omba demu baadaye nashangaa nimekula block
Yan mzee bahat mbaya Kila naempata nakuta kanizidi umri na Ana mtoto au watoto nikitongoza ninaowazidi wananikataaHao tambua hawakuwa kwa ajili yako boss,ukimpata ambaye yupo kwa ajili yako basi utafurahi na kuyaona mambo yanakuwa mepesi sanab
Muhimu ni mtu kufunguka tu " Am not interested" na sio kujikuta kama celebrity wanapofuatwa DMHata kama utafanya hivyo ingawa sio poa,ila sheria zitabaki pale pale