"Sheria ni Msumeno"

tafiti zinasema wafuasai wa chadema ni wasomi na vijana au wazee wenye nafuu ya maisha.

ila amini ndio watu wapumbavu kuliko kundi jingine
 
Tuhuma ziende na ushahidi .

Kama watuhumu ni kina Bashite & co . Hakuna kitu
ushahidi upo, ndio maana kafikishwa mahakamani.
hatuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumsafisha, kama hana hatia mahakama itasema tu kama anahatia pia itafahamika, tatizo la wafuasi wa Mbowe hawana ustaarabu wa kuheshimu vyombo vya sheria.
 
ni kweli kabisa kesi ya sabaya na mbowe haziwezi kilingana kabisa.
Kesi ya Mbowe inamadhara makubwa sana kwa Taifa kuliko ya Sabaya.
Mbowe yeye anatuhumiwa kuvuruga Amani ya nchi, kupanga mipango ya kigaidi.
unajua umuhimu wa amani ya nchi wewe?
Kinara wa kupambana na ugaidi duniani ni USA.
USA inajua machaka ya magaidi dunia nzima.
Kama mbowe angekuwa gaidi kweli marekani wasingekuwa upande wake.
Halafu ukifuatilia Maelezo ya mashahidi wa upande wa Serikali akina kingai na mahita ni kama hawakujipanga wamejichanganya Sana.
Ni ukweli ulio dhahiri Kesi ya mbowe ni ya kubumba hilo lipo wazi.
Sabaya alitenda makosa na akakiri kwamba ni ukweli alifanya ujambazi kwa kutekeleza maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi
 
Hii umeiandika kama wengi wanavyodhani, kuwa imetengenezwa kubalance,/mtego, wamfunge kwanza sabaya (wengi wawe na mawazo kama ya kwako) ndipo baadae wapate mwanya wa kumfunga mbowe! Ujanja mwingi mbele giza
Mbowe anaweza kufungwa kutokana na ushahidi utakao tolewa, hakuna cha kubalansi wala nini.
umeshawahi kufungwa gerezani wewe? au unasikia tu!!
vipo vya kutesti lkn sio kifungo.
usiongelee kirahisi hivyo.
hapo kila mtu apambane na hali yake.
 
Kinara wa kupambana na ugaidi duniani ni USA.
USA inajua machaka ya magaidi dunia nzima.
Kama mbowe angekuwa gaidi kweli marekani wasingekuwa upande wake.
Halafu ukifuatilia Maelezo ya mashahidi wa upande wa Serikali akina kingai na mahita ni kama hawakujipanga wamejichanganya Sana.
Ni ukweli ulio dhahiri Kesi ya mbowe ni ya kubumba hilo lipo wazi.
Sabaya alitenda makosa na akakiri kwamba ni ukweli alifanya ujambazi kwa kutekeleza maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi
unadhani kwa nini kina;
Halfani Bwire,
Adam Kasekwa na
Mohamedi Ling'wenya
walimtaja Mzee Mbowe kuwatumia ktk vitendo vya kihalifu?
kwa nn hawjatajwa kina Mnyika, Mrema au Benson?
 
unadhani kwa nini kina;
Halfani Bwire,
Adam Kasekwa na
Mohamedi Ling'wenya
walimtaja Mzee Mbowe kuwatumia ktk vitendo vya kihalifu?
kwa nn hawjatajwa kina Mnyika, Mrema au Benson?
Walimtaja wapi na lini?
Achana na Maelezo ya Polisi yote ni ya kubumba.
Jambazi sabaya yeye alikiri Mahakamani kwamba alifanya ujambazi wake kutekeleza maelekezo ya mamlaka ya uteuzi.
Achana na Maelezo ambayo watu wanalazimishwa kusaini Polisi baada ya kuteswa .
Hii Kesi ya mbowe inaenda kuwavua nguo Polisi, hadi sasa kuna komando amepotezwa haijulikani alipo inasemekana Polisi wamemuua
 
tega masikio mahakamani, kila kitu utakisikia huko.
hapo ndipo utajua uovu wa unaye mtetea.
 
tega masikio mahakamani, kila kitu utakisikia huko.
hapo ndipo utajua uovu wa unaye mtetea.
Tumesikia Mengi hadi ya RPC ambaye hajui PGO inaeleza nini kuhusu kumkamata mtuhumiwa.
Kesi haina mshiko zaidi ya Polisi kujizalilisha
 
babu ngoma bado mbichi sana,
tega masikio vizuri.
Ushahidi wa kuokoteza toka lini ukatimia,check wazee wa escrow na uhamsho wamewaonea kuwakalisha ndani miaka bila ushahidi.
Laana iendee uzao wao wote walioshiriki dhuluma ya kubambika watu kesi kwa ushahidi wa kuokoteza
 
hiyo ni kazi ya Mahakama kubaini kama ni ya kweli ama ni ya uongo.
Hata ktk kesi ya Sabaya wapo ambao walidhani sio kweli wapo amabo waliamini ni kesi ya ukweli lkn mwishowe Mahakama imefikia maamuzi kama ulivyo yasikia, vivyo hivyo Kwa Mbowe tusipende kutetea sana kitu usicho kijua undani wake, kama hujui mambo ya undani ni bora ukakaa kimya kuliko kushabikia kitu usicho kijua, kama wanavyo fanya wafuasi wa mbowe, wanalazimisha...
Hata mimi nilikuwa siamini kwamba Sabaya anaweza kupora.

Lakini katika majumuisho ya hukumu kuna vigezo viliniaminisha tuhuma dhidi yake.

Kwamba, pamoja na kuwa na mamlaka ya kukamata ama kutumwa na boss wake, lakini alivuka mipaka na kwenda nje ya eneo lake la kazi bila kujulisha mamlaka za eneo hilo.

Kwa hiyo na mambo ya Mbowe, tuiachie mahakama bila kutia neno ili mwisho wa sakata hili tisifumbe nyuso zetu kwa aibu.
 
Mwenendo wa Kesi ni wa uwazi ukisikiliza tu kuanzia mashahidi hadi waendesha mashtaka utaujua ukweli hata kabla ya hukumu kusomwa.
Jiulize kwa nini Kwenye Kesi ya mbowe Polisi walizuia watu wasihudhurie ili kuficha ukweli wa mwenendo wa kesi
Kwani Polisi walishindwa kujibu maswali Mengi ya msingi , Polisi hawaelewi hata PGO inaeleza nini Polisi akitaka kumkamata mtuhumiwa .
Kimsingi ukifuatilia Kesi ya mbowe unaona kabisa hakuna Kesi ni ubambikiaji tu.
Nilifuatilia Kesi ya sabaya , majibu yake yalikuwa ya kipuudhi kabisa mfano eti alikuwa hajui Kama aliyemuapisha yeye kuwa dc ni mkuu wa mkoa na pia ni bosi wake yaani alikuwa hajui hivyo. Hiyo yote ni katika kujustfy upuuzi wake kwamba RC sio bosi wa DC kitu ambacho sio kweli
Mwisho alipokiri kwamba alifanya ujambazi kutekeleza amri za mamlaka ya uteuzi nikajua jamaa ni mpuuzi na lazima afungwe
 
Uchunguzi unaonyesha Hukumu iliyo tolewa dhidi ya Sabaya na wenzake ya kifungo cha miaka 30 jela imewafurahisha sana wafuasi wa Mbowe na wameipongeza sana Mahakama kuwa imetenda haki kwa Sabaya kufungwa miaka 30.
wafuasi wa Sabaya wamehuzunika sana lakini wameonyesha ukomavu kwa kuheshimu maamuzi ya Mahakama.
swali la kujiuliza je ikitokea Mbowe na wenzake ktk kesi ya Ugaidi wamekutwa na hatia na kufungwa maisha jela, je wafuasi wa Mbowe wataheshimu maamuzi ya Mahakama ?! au wataanza matusi na kudhalalisha mahakama kama kawaida yao?!!
wafuasi wa Mbowe jifunzeni ustaarabu, hata kama ikitokea Mbowe akifungwa tukubali kuwa kapewa haki maana Mbowe sio malaika.
tujifunze kuheshimu vyombo vyetu.
Haki ni haki tu, inaweza kuwa kifungo jela ama kuachiwa.
tuache tabia ya kuishiniliza mahakama.
Sheria ni msumeno, leo umemkata Sabaya na wenzake, kesho mbowe, keshokutwa mimi au wewe.........hiyo ndio sheria, haichagui wala haitazami wewe ni nani...
Wewe mwanaccm umemlenga mbowe hapo!!! Huna jipya umeumizwa na kifungo cha Mungu wenu sabaya!!! Mbowe kinachomfanya azuiliwe ni msimo wa katiba ila vilaza hamuelewi
 
Uchunguzi unaonyesha Hukumu iliyo tolewa dhidi ya Sabaya na wenzake ya kifungo cha miaka 30 jela imewafurahisha sana wafuasi wa Mbowe na wameipongeza sana Mahakama kuwa imetenda haki kwa Sabaya kufungwa miaka 30.
wafuasi wa Sabaya wamehuzunika sana lakini wameonyesha ukomavu kwa kuheshimu maamuzi ya Mahakama.
swali la kujiuliza je ikitokea Mbowe na wenzake ktk kesi ya Ugaidi wamekutwa na hatia na kufungwa maisha jela, je wafuasi wa Mbowe wataheshimu maamuzi ya Mahakama ?! au wataanza matusi na kudhalalisha mahakama kama kawaida yao?!!
wafuasi wa Mbowe jifunzeni ustaarabu, hata kama ikitokea Mbowe akifungwa tukubali kuwa kapewa haki maana Mbowe sio malaika.
tujifunze kuheshimu vyombo vyetu.
Haki ni haki tu, inaweza kuwa kifungo jela ama kuachiwa.
tuache tabia ya kuishiniliza mahakama.
Sheria ni msumeno, leo umemkata Sabaya na wenzake, kesho mbowe, keshokutwa mimi au wewe.........hiyo ndio sheria, haichagui wala haitazami wewe ni nani...
Sawa.Tusubiri utabiri wako utakavyopambana na ukweli na haki.
 
Back
Top Bottom