Sheria mpya za barabarani

Sheria mpya za barabarani

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
441
Reaction score
117
SHERIA MPYA ZA BARABARANI:-
1. Ni Marufuku Vits ku'ovateki /kupita Range
Rover - Faini Tsh. 500,000 or Kifungo cha
Maisha.
2. Kama Honi yako haifanyi kazi, gari lako
litauzwa kwa mnada inunuliwe honi!
3. Kuendesha ukiwa umelewa pombe:-
A) Heinken - Tsh. 1000,000
B) Castle, Tusker, Ndovu na Kilimanjaro lager -
Tsh. 700,000
C) Safari, Windhoek na Pilsner - Tsh. 500,000
D) Konyagi, Value, Grants, Johnny Walker -
Kifungo cha Maisha!!!
3. Kubeba mke wa mtu kwa boda boda na
amekukamata kuku style - Adhabu ni kupigwa
mawe hadi kifo.
4. Kutumia simu wakati unaendesha -
inategemea-
Kama ni - Nokia- Tsh. 900,000
- Mchina (yoyote) - Tsh. 50,000
# Iphone na Samsung Galaxy -
UTANYANG'ANYWA SIMU na kuachiwa gari!
Endesha kwa usalama!!!
 
Back
Top Bottom