sheria mpya ya fifa

pera

Senior Member
Jul 19, 2011
148
16
sheria ya mpya ya 18 ya fifa mchezaji akifanyiwa madhambi wakati kona inapigwa itakua penalt nafikiri wote mliona hii sheria ilipoanza ku2mika kwenye gem ya ac milan na barca
 
madhambi?asubiri hukumu ya milele imwangukie, wapo wachezaji wengi waongo sana, anadanganya anakwenda huku halafu anakwenda kwingine hawa nao watahukumiwa kwa madhambi yao, hata wale wanaodnganya makipa wakati wa kupiga penaty, lango lao ni moja.....
 
washabiki wengi hawajui sheria thats why lawama kwa marefa huwa nyingi,some tymes hata kuwapa kichapo
 
sheria ya mpya ya 18 ya fifa mchezaji akifanyiwa madhambi wakati kona inapigwa itakua penalt nafikiri wote mliona hii sheria ilipoanza ku2mika kwenye gem ya ac milan na barca

Du! Kimewauma ehh! Na bado.
 
madhambi?asubiri hukumu ya milele imwangukie, wapo wachezaji wengi waongo sana, anadanganya anakwenda huku halafu anakwenda kwingine hawa nao watahukumiwa kwa madhambi yao, hata wale wanaodnganya makipa wakati wa kupiga penaty, lango lao ni moja.....
dah hapo kwenye red umenifurahisha sana mkuu
 
sheria ya mpya ya 18 ya fifa mchezaji akifanyiwa madhambi wakati kona inapigwa itakua penalt nafikiri wote mliona hii sheria ilipoanza ku2mika kwenye gem ya ac milan na barca

Bila kuuliza wewe ni mshabiki wa man u
 
Kutokana na tatizo la brain concusion kuonekana ni hatari hadi kusababisha kifo cha kanumba,tff wameongeza sheria nyingine kwamba ukimsukuma mchezaji mwenzio unafungwa jela miezi8
 
Hahahahahaaaaa! Mshabiki wa chelsea na man u mnaweweseka kuona kizazi chenu kinaangamizwa na barca kila mwaka, mwaka juzi tulianza na Arsenal, mwaka jana tukaendelea na Man U na mwaka huu tunamalizia na Chelsea. Uliyeleta hii thread utakufa kwa stress kama kama ni mpinzani wa barca. FC BARCELONA "MORE THAN A CLUB" MES QUE UN CLUB.
 
sheria ya mpya ya 18 ya fifa mchezaji akifanyiwa madhambi wakati kona inapigwa itakua penalt nafikiri wote mliona hii sheria ilipoanza ku2mika kwenye gem ya ac milan na barca

mkuu kwenye mechi Ya chel v/s bac tujiandae kushuhudia sheria mpya zingine.
 
Kutokana na tatizo la brain concusion kuonekana ni hatari hadi kusababisha kifo cha kanumba,tff wameongeza sheria nyingine kwamba ukimsukuma mchezaji mwenzio unafungwa jela miezi8

avatar54028_1.gif

Avatar yako inaichosha server bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom