Mkuu, Tafuta mda, tulia halafu pitia katiba hiyo ibara kwa ibara, itakusaidia zaidi kuliko kutegemea jibu mojaHivi kuna sehemu yoyote kwenye katiba inakataza sheria zilizopo na zitakazotungwa kurudi nyuma i. e kuwa applied retrospective instead of prospective application