Sheria kandamizi

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Leo ni siku ya wanawake duniani, kati ya vikwazo vilivyotajwa ni sheria kandamizi, je ni zipi?
 
Zipo nyingi
Mfano sheria ya ndoa ambayo kwa upande mmoja inatamka kuwa mwanamke akiwa na miaka kumi na tano anaweza kuolewa huku sheria nyingine kama ya makosa ya jinai inasema kuwa ukijamiana na mtoto wa chini ya miaka kumi na nane ni rape
bado sheria ya ardhi japo inatambua haki za mwanamke kurithi ardhi bado huko vijijini hali ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom