Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Hii picha ni Ujeruman, Kukiwa na foleni madereva wanatakiwa kuacha njia katikati kwa kila mmoja kubana pembeni kabisa ili kupisha magari ya dharura kama ya ambulance etc. Hii ni sheria.
Kitu kizuri hawa jamaa wanaheshimu na hakuna anaye vunja hiyo sheria. Bongo itakuwaje ikiwepo sheria kama hii.?
Kitu kizuri hawa jamaa wanaheshimu na hakuna anaye vunja hiyo sheria. Bongo itakuwaje ikiwepo sheria kama hii.?