Sheria kama hii Watanzania tutaiweza

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Hii picha ni Ujeruman, Kukiwa na foleni madereva wanatakiwa kuacha njia katikati kwa kila mmoja kubana pembeni kabisa ili kupisha magari ya dharura kama ya ambulance etc. Hii ni sheria.

Kitu kizuri hawa jamaa wanaheshimu na hakuna anaye vunja hiyo sheria. Bongo itakuwaje ikiwepo sheria kama hii.?
FB_IMG_1483209741662.jpg
 
Nji za wenzetu raha sana

Usiseme tz sema Africa tutaweza
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom