Ukimgonga mtu kwa nyuma wewe ndio una makosa. Kama una insurance hata third party subiri trafiki aje apime mfuate taratibu insurance yako imtengenezee au kama ana comp insurance itamtengenezea.Habari za leo wanajamvi,kuna utata naupataga kwenye hili swala,labda wajuzi wa sheria za usalama barabarani watatusaidia,....
Mara nyingi inajulikana kuwa ukigonga gari lingine kwa nyuma inakuwa kwamba ww mgongaji ndio una kosa,je ni sheria ww ngongaji ndio utengeneze gari la mwenzako?,i mean sheria hasa za usalama zinasemaje?,maana wengine wanasema kuwa bima ndio zinatengeneza gari zote mbili,je unaweza kukomaa na mwenye gari ili ulipe faini ya polisi then kila mmoja akatengenezewe gari lake na kampuni ya bima?,...hapo naongelea Third part insurance.Naomba wataalam wa sheria za barabarani watusaidie.
Mita 20..!!! Ingekuwa balaa.Kuna nafasi imewekwa kisheria kati ya gari moja na lingine. Sikumbuki ni mita ngapi, ila nadhani ni mita 20. Sina uhakika.
Kwa maana hiyo ukiligonga gari la mbele yako, ina maana hukuzingatia taratibu na sheria za ile nafasi. Kwa maana hiyo unakuwa una kosa.
name umenifumbua masikio,asante kaka kwa maelezo yako mazuri. kwenye masuala ya magari wewe ni kingUkimgonga mtu kwa nyuma wewe ndio una makosa. Kama una insurance hata third party subiri trafiki aje apime mfuate taratibu insurance yako imtengenezee au kama ana comp insurance itamtengenezea.
Ukimgonga mtu ukiona matengenezo gharama sana subiri trafiki aje insurance italipa.
Ha ha ha mita 20 ingekuwa kutoka magomeni hadi fire kuna gari nne tu!Mita 20..!!! Ingekuwa balaa.
Ni mita nne tu
Kama ulivyosema wa nyuma ndie mwenye kosa. Hivyo bima ya wa nyuma ndio itagharamia matengenezo ya gari zote.Habari za leo wanajamvi,kuna utata naupataga kwenye hili swala,labda wajuzi wa sheria za usalama barabarani watatusaidia,....
Mara nyingi inajulikana kuwa ukigonga gari lingine kwa nyuma inakuwa kwamba ww mgongaji ndio una kosa,je ni sheria ww ngongaji ndio utengeneze gari la mwenzako?,i mean sheria hasa za usalama zinasemaje?,maana wengine wanasema kuwa bima ndio zinatengeneza gari zote mbili,je unaweza kukomaa na mwenye gari ili ulipe faini ya polisi then kila mmoja akatengenezewe gari lake na kampuni ya bima?,...hapo naongelea Third part insurance.Naomba wataalam wa sheria za barabarani watusaidie.
Asante kwa ufafanuzi.Mita 20..!!! Ingekuwa balaa.
Ni mita nne tu
Asante mkuu,ndo maana nilikutag maana najua speech zako zinaekeweka,....ila cjaelewa hapo.....VP km wote wawili mna third party insurance?Ukimgonga mtu kwa nyuma wewe ndio una makosa. Kama una insurance hata third party subiri trafiki aje apime mfuate taratibu insurance yako imtengenezee au kama ana comp insurance itamtengenezea.
Ukimgonga mtu ukiona matengenezo gharama sana subiri trafiki aje insurance italipa.
Kama sikosei ni mita 30 wakati gari zinatembeaMita 20..!!! Ingekuwa balaa.
Ni mita nne tu
Yes nafahamu hilo LA kuendesha magari ma3 mkuu,ila kibinaadamu tu huwa kuna wakati viajali vidogo vidogo vinatokea,....nimeuliza maana kuna mshikaji wangu aliigonga BMW X5 ya mtu, akavunja taa zote za BMW na kuiharibu sura yote ya BMW,jamaa alikubali kosa na hv sasa anadaiwa madeni mtaani karibu 3m aliyokopa kutengeneza BMW,ndo maana nikaona niulize,na ile BMW ilikuwa na comprehensive insurance lkn jamaa alikataa katukatu na kutaka gari yake itengenezwe.dereva anaendesha magari 3
1. la kwake
2. mbele yake
3. la nyuma yake
hapo sasa ukigonga gari kwa nyuma ww ndo mwenye makosa chakufanya ita wahusika wapime alafu bima ya gari itamalizana mbele kwa mbele na alieumia
Ukimgonga mtu kwa nyuma wewe ndio una makosa. Kama una insurance hata third party subiri trafiki aje apime mfuate taratibu insurance yako imtengenezee au kama ana comp insurance itamtengenezea.
Ukimgonga mtu ukiona matengenezo gharama sana subiri trafiki aje insurance italipa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu Mimi sio mjuz wa hayo mambo ila mita 30 labda km umeongozana na yule mzee wa kayaKama sikosei ni mita 30 wakati gari zinatembea