Sheria inasemaje kuhusu hili?

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante
 
habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante
Tafuta wakili aliye karibu nawe anaweza kukushauri jinsi ya kufanya... Usikubali au kumwamini mtu yoyote katika mambo ya kufanya biashra na mtu bila ya kujuwa haki yako na huyo unayetaka kufanya naye biashara.
 
Back
Top Bottom