MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
mie sijui kifung gan !ila najua ni sheria za barabaranikifungu gani cha Sheria kinachokutaka usimame Na kuwasha hazards?
mie sijui kifung gan !ila najua ni sheria za barabaranikifungu gani cha Sheria kinachokutaka usimame Na kuwasha hazards?
Sisi wa huku mikoani mbona hatukutani na hilo? Leo yenyewe nimeunga kwenye Zebra na kulikuwa na raia pembeni wanataka kuvuka ila waoga waoga....mbele kulikuwa na askari wanakamata magari wanayoyatamaniSasa Askari wetu Baadhi hawajui hii Sheria Unafika Eneo la Zebra unapunguza Speed unaangalia huku na huku hakuna mtu wa kuvuka unaamua kuvuka kumbe wao wamebana sehemu wanangalia ukivuka tu! Hao wanajitokeza kwanini? Hukusimama kwenye kivuko unawajibu nilipunguza mwendo nikaangalia pande zote hakuna wa kuvuka nikaendelea na safari wanakuambia na yule si mtu aliyesimama kumbe kaja baada ya wewe kupita anatumia hicho kigezo ili Umpe chochote kiukweli TAKUKURU wakiamua kuwakamata hawa jamaa kwa Rushwa watawazoa wote kuanzia DAR mpaka SIRARI Ni maoni yangu waungwana msijenge Chuki.
Ungempa leseni tu mngesumbuana mpaka basiLeo nmebishana na askari hapo mlimani cty kwny round about nlikuwa naenda mwenge nmefika pale hamna mtu nikapita akanisamisha eti mbona sijasimama kivuoo cha waenda kwa miguu nikamwambia hamna mvukaji nikagoma kumpa leseni maana tungesumbuana sn,mwisho akaniambia ww nenda
Mm nikishaona askari anataka kunibambikia kosa huwa sitoi leseni kbsUngempa leseni tu mngesumbuana mpaka basi
Dodoma?Huku dodoma na singida ni tofauti sana ,kwenye zebra awepo au asiwepo mtu anayevuka au anayetarajia kuvuka madeeva wanasimama na kuwasha hazard kana kwamba kuna mtu anavuka ,tahadhari kama we ni dereva mgeni kuwa mwangalifu ufikapo kwenye zebra haswa kukiwa na gari mbele yako
Mkuu ni kweli ukitembea pande hizi utaonaDodoma?
Mbona mi nafanya kawaida tu nikiwa huko au dar... Tena mbele ya traffic
Sasa mambo ya hazard af hamna anaye-cross inakuwaje tena...
soma article hiyo hapo juumie sijui kifung gan !ila najua ni sheria za barabarani
Ndivyo ilivyo mkuu. Na sasa hivi Wataanza kusimama maeneo yenye zebra, maana wanajua hiyo sheria watu wengi hawaijui. Tusipuuze, tuzingatie.hapana Elli bwana ni l;azima usimame !sema mnafoji tu kupita !simama piga hazard kuzuia wa nyuma asipite !shauri zako