Sheria iko pale pale

chayowa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
413
109
Mi nashangaa sana watu wanasema mwisho 2015!!!! Mtu ushahidi upo kafanya kosa akipata adhabu eti mwisho 2015..... Sheria iko pale pale....... Kuna ukasumba wa nani kafanya kosa ndio watu watoe mapuvu.......
 
Back
Top Bottom