Sherehekeni kwa muda, mnaenda kupewa somo

Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......

Badoo..... Sindano hazijakuingia vizuri.
Most-Dangerous-Dogs-American-Bulldog.jpg
 
Check your fact,

Licha ya Wakristo kuwa ni minority Iran lakini wapo kwa miaka karibu 2000 hapo Iran, wanatambulika na katiba ya nchi na wana uwakilishi bungeni.
Yeah... Hata majuzi Khomenei alikula nao Christmas.
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Sawa ngurubabu mkubwa
 
JANA KUNA JAMAA HUMU ANALETA STORI ZA WASHIRIKA, WA IRAN WATAMLINDA KHAMENEI, NILISHANGAA SANA, HIVI JF KUMBE KUNA WACHAMBUZI WA SOKA, WAMEVAMIA SIASA.

DUNIA YA LEO, UNALETA STORI ZA WASHIRIKA, NIKAMWAMBIA, JUZI WAVAA TAI WA USA WALIKUA CHINA, NA WAMEPOKELEWA FRESH TU, WE UNALETA STORI GANI? KIDUKU, HUYO ANAE PIGWA MKWARA NA KOREA KUSINI KILA UCHWAO?

PROFESA WA UCHUMI, MKE WAKE ANAUZA GENGE LA NYANYA SOKONI, UNAULIZA ELIMU YAKE INA MSAADA GANI? UNA MUONEA FIELD NI HABARI NYINGINE, WAZEL

PUTIN UNADHAN HAMJUI USA? VITA MDOMONI NI NYEPESI SANA, INGIA FIELD, CHINA HANA UZOEFU NA MITUTU, UKIONA UNAMBIWA TUNATAKA MFANYAKAZI MWENYE EXPERIENCE, ELEWA MZEEE, FIELD NI NOMA.

JANA TU HAPA NILIKAZIA UKITAKA KIWA HODARI, STAND AS YOU, ACHANA NA HABARI ZA WASHIRIKA
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Pamoja na kwamba wanopigana hata wakiuana wote ni ya kwao lakini huu upumbavu wa kutisha Watanzania kisa eti kauawa Ayatollah Ali Khamenei ndiyo tanayofanya wengine washangilie, sidhani kama walivyouawa vijana wa Kitanganyika au ambavyo Watanganyika huwa wanatekwa unakuwa na hasira na uchungu kama huu unaouonyesha kwa kulilia na kujiapiza kisa Ayatollah kauawa. Walikuwepo pia akina Saddam Hussein and it was the story. Iran will retaliate yeah lakini watapigwa, wataswagwa, wanagaragazwa mpaka kila anayechakuliwa tu kwenye uongozi atakuwa anauawa hivyohivyo mwishowe labda waanze kuwa wanavaa mabomu na kujilipua ila direct warfare watapigwa sana. Ogopa unapambana na mtu anajua exactly wapi pa kupiga, analenga viongozi waliojificha this means ana uwezo wa kupiga popote atakapo.
NB: Kifo cha Ayatollah hakina madhara wala hakina faida kwa Watanzania.
 
Putin ajifunze kwa wenzake

Yeye ana hangaika na zelensiki miaka 4 ila mwenzake USA kombola moja tu lina ondoka na mtu.

Ila hawa jamaa USA na Israel ni nyoko sana aisee. Yani wameua kiongozi wa nchi na bado wakawa wanatumiwa picha za maiti yake
Israel wamefahamu kifo cha Ayatollah Khamenei kabla hata Iran wenyewe hawajafahamu, Netanyahu wakati ametangaza Iran walibisha hata US ilibidi waulize wapatiwe maelezo ya kina because they don't have boots on the ground.
 
Cheki hii mbwa mfu inapiga kelele humu wakati wengine wameshikilia mitutu huko!! Nikushauri tu kwamba kwenye hiyo Avatar yako weka neno R.I.P au alama ya "X", maana hilo zee limeshadanja and there is nothing you can do! Mbwa wewe!
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi
 
Back
Top Bottom