Sherehekeni kwa muda, mnaenda kupewa somo

Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Pole Adios.......Dunia itaendelea tu...! Yametokea mengi mno duniani......Vita vya Kwanza....Vita vya Pili....Covid.....Kufa kwa Gadaffi....Osama.......Sembuse huyu Mzee....Usilete vituko hapa!
 
Hao watu wanavyopenda kuuwa dunia ingeruhusu Ayatollah na genge lake wamiliki Nukes, mwisho dunia ungewadia chap
 
Wee mmatumbi, wewe na Iran wapi na wapi.

Ngoja niangalie kama kunanyuzi uliandika kulaani kuuliwa kwa damu ya waTanganyika wenzako OCT29.
Daah!
Mwanangu kimsboy alipinga sana uhuni uliofanywa 2025 na serikali ya mambogamboga wahuni.
Hata hiki kinachofanywa na hao wababe wa dunia ni kile kile walichotufanyia maccm UONEVU.
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Nimeona link tayari wameanza kuandikisha walio kwa jihadi hapo somalia na wengine kupitia azhakhstan...
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Anayetakiwa kutangaza kuvuka mstari mwekundu ni Ayatollah Khomeini

Usijipe madaraka yasiyo yako
 
Pole sana tuma akaunt namba tukutumie rambirambi.

Dua ya kuku haimpati mwewe,magaidi wote lazima wauwawe.

Long live USA&ISREL
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Kama toka mwanzo wa mapinduzi ya kiislam, wasingetangaza nia ya kuifuta Israeli (treacherous zionist regime) na kutangaza uadui wa kudumu na Western imperialists hasa hasa USA (the great satan), haya yote yasingetokea. Wangejipigia kazi zao kimya kimya na si ajabu wangeweza hata kutengeneza silaha za nyuklia kimya kimya na Iran kama nchi ingekuwa imefika mbali sana kimaendeleo. Tatizo ni KAMDOMO!
 
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Na wa humu msheherekee vivyo hivyo

Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima

Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran

Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena

Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao

Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much

Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi

Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi

Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho

Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni

Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto

Binafsi nimeumia sana......
Muislamu tuliza ball; haya ilibidi yatimie tu. Msichojua ni kuwa hao viongozi wenu wa Kiislamu wenye mamlaka ya Dola wanatunga na kutekeleza SERA zinazopingana na UTIMIZO WA NABII ZA BIBLIA. Biblia yasema Habari Njema ya Ufalme kulingana na Biblia lazima ihubiriwe nchi zote za Ulimwengu huu. Ayatollahs wao wamepiga marufuku ukiristo na ni kosa kubwa kuingiza vitabu/Biblia ndani ya Iran. Ni kosa la Hukumu ya Kifo kubadili dini toka Uislamu kwenda Ukiristo. Ila RUKSA kubadili toka Ukiristo kwenda Uislamu. Katika hali hiyo the Ayatollahs ni kikwazo kwa Utimizo wa unabii huu. Hivyo in one way or another these Ayatollahs must go if they don'tchange their policy. Wenzao kule SAUDI ARABIA wameanza kulegeza masharti. Wanaruhusu uhuru wa kuabudu. Katika hali kama hii these Ayatollahs must go either through ballot ( uchaguzi) or by force. Maayatollahs yamekaidi kuondoka kupitia uchaguzi huru. Kilichobaki imebidi atumike AGENT wenye nguvu kupita wao ili waondoke.
Brother brace for yet more surprises for islam as the year 2029 approaches
 
Hao wananchi wa Iran ipi? Iran ya Ayatollah wako kwenye sherehe ya kumpongeza Trump kwa kuwaondolea jini nchini mwao.
 
Ile bendera nyekundu haijapandishwa?
Hawa watu wana vituko sana, hiyo Iran ni hype ya kidini tu inapewa.

Iran imepigana vita na Iraq miaka 8 na hakuna mshindi, sasa Iran ndio wakufananisha na Marekani? Sijui hizi akili huwa wanazitowa wapi?
 
Muislamu tuliza ball; haya ilibidi yatimie tu. Msichojua ni kuwa hao viongozi wenu wa Kiislamu wenye mamlaka ya Dola wanatunga na kutekeleza SERA zinazopingana na UTIMIZO WA NABII ZA BIBLIA. Biblia yasema Habari Njema ya Ufalme kulingana na Biblia lazima ihubiriwe nchi zote za Ulimwengu huu. Ayatollahs wao wamepiga marufuku ukiristo na ni kosa kubwa kuingiza vitabu/Biblia ndani ya Iran. Ni kosa la Hukumu ya Kifo kubadili dini toka Uislamu kwenda Ukiristo. Ila RUKSA kubadili toka Ukiristo kwenda Uislamu. Katika hali hiyo the Ayatollahs ni kikwazo kwa Utimizo wa unabii huu. Hivyo in one way or another these Ayatollahs must go if they don'tchange their policy. Wenzao kule SAUDI ARABIA wameanza kulegeza masharti. Wanaruhusu uhuru wa kuabudu. Katika hali kama hii these Ayatollahs must go either through ballot ( uchaguzi) or by force. Maayatollahs yamekaidi kuondoka kupitia uchaguzi huru. Kilichobaki imebidi atumike AGENT wenye nguvu kupita wao ili waondoke.
Brother brace for yet more surprises for islam as the year 2029 approaches
Check your fact,

Licha ya Wakristo kuwa ni minority Iran lakini wapo kwa miaka karibu 2000 hapo Iran, wanatambulika na katiba ya nchi na wana uwakilishi bungeni.
 
Back
Top Bottom