Sherehe za Uhuru 9 December 2016

Wapenda sherehe utawajua tu, au labda unalako jambo hapa zaidi ya kwenda mjini ili uhudhurie sherehe
 
Kweli you need to be corrected....1961 to 2016 ni 55 years
Ningekua wewe ningejiuliza mara 2 kwanini kaandika hayo alioandika kwenya mabano; watu wenye umri mkubwa kuliko wewe wa namna yao ya kufikiri. USIBISHE tu, kwani tokea umekua, uliwahi kusikia hizo sherehe linatajwa jina Tanganyika!? Hope your answer is NO, why hua wanasema Tanzania wakati hiyo Tanzania haikuwepo!? Ukipata jibu then utamwelewa mleta UZI kwanini hakusema miaka 55 badala yake kaweka 54!
 
Mnasheherekea nini wakati serikali tatu hamtaki
 
naona kuna wanafunzi huku wanakula zoezi la gwaride ila hamna tshirt wala kofia km ndo unaziwinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…