Mkuu mtimbwani ipi hyoWakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
Hivi ni kweli Mbeya vijana walimpiga mawe JK? Ambaye kwasasa watu kibao wameanza kustukia kwamba alikua ni kiongozi bora.Zinaweza kuahirishwa ili fedha itakayo okolewa ikanunue pikipiki za vijana Mbeya maana nao ni wabishi kama wa Arusha
peleka ujinga mbele kwani huwa zinafanyika wapi
Kweli you need to be corrected....1961 to 2016 ni 55 yearsWakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
Aliwaambia kabla ya tarehe 10Dec 2016 atakuwa ameshajua kiasi gani amewachinjia baharini.Kwani pesa ya mapriso imetoka wapi?
Sote tunajua kuwa 'kuuliza sio ujinga' na kama wewe hujui hilo huenda una matatizo zaidi!peleka ujinga mbele kwani huwa zinafanyika wapi
Usije mjiniWakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
Imagine siku nne kabla ya sherehe bado haijulikani kama ipo au haipo .......... Hizo pesa sasa akapanue barabara ya Shekilango!!Zinaweza kuahirishwa ili fedha itakayo okolewa ikanunue pikipiki za vijana Mbeya maana nao ni wabishi kama wa Arusha
Non sense hivi kumbe ujui hata nchi yako inatimiza miaka mingapi ya Uhuru eti miaka 54 very very sad......Wakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
safari Hii naona anga yetu tulivu ......maana tulizoea mwezi mmoja kabla vijana wetu machachari wa jeshi la anga wanatamba kwenye anga la nchi kwa madaha wakiwakumbusha maadui na vizabizabina kuwa Tupooooooooo[In makongoro voice]Wakuu