TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
Hivi kuna tofauti gani kati ya huu mwenge wa uhuru na vigodoro?!
1.Ukimwi nje nje
2.Makelele uckukucha
3.Condom kuzagaa na kupulizwa kama "maputo"na kuhatarisha maisha ya watoto
4.Madawa ya kulevya
5.Mimba zisizotarajiwa znazoleta mauwaji ya vichanga na ongezeko la watoto wa mitaani
6.kodi zetu znateketea KWENYE SHUGHUL ZA MWENGE,KWANINI USIPIGWE MARUFUKU KAMA
VIGODORO.
ama kwanini viongoz wasiwe wabunifu badala ya huo mwenge kukesha ukileta maangamizi yote hayo na mengne mengi wasije na mbinu za kupeleka huduma za jamii sehemu husika kama madawati.vitanda vya mahospitalini visima na mambo ya maendleo badala ya kukesha wakitumia kodi zetu kwenye kilevi na ngono,karne hii eti watu wanakimbiza mwenge!!
UPUUZ MTUPU VIONGOZ MUWE WABUNIFU NA MUENDE NA WAKATI SI MTUONE MAZUZU KUTULETEA HAYO MAMBO YA KIZAMAN ILI MSHIBISHE MATUMBO YENU WACHACHE KWA JASHO LA WADANGANYIKA, FUTILIA MBALI AMA REKEBISHA MFUMO!
CC:- flora msoffe