Sherehe za miaka 50 ya uhuru au sifa za kujitakia kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe za miaka 50 ya uhuru au sifa za kujitakia kikwete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makongorosi, Jan 26, 2011.

 1. m

  makongorosi Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamvi, nimekaa na kutafakari, nimeona kweli rais wa ccm ndugu kikwete ni mbumbu na mtu anayependa misifa. Simuelewi anavyosema ifanyike sherehe kubwa ya miaka 50 ya kukumbuku ya uhuru mwaka huu 2011. Maswali ambayo ninajiuliza na bila kupata majibu, hivi hiyo miaka 50 ya uhuru tufuruhie nini hasa cha ajabu ambacho kikwete amekifanya, waTanzania wamenufaika na nini, hizo ghalama za kufanyia hiyo sherehe kwa mikoa yote ya tanzania wabebeshwe kina nani ili tu raisi anataka awekwe kwenye vitabu vya kumbukumbu, jila lake lisipotee katka historia ya Tanzania, hizi ni sifa za kijinga ambazo Watanzania wa leo hawatataka kuzisikia. Baada ya umaarufu wake kuisha anatafuta kira aina ya njia aweze kujenga upya umaarufu wakati wananchi wameshachoka ngonjera zake.
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sherehe ya Nini tena? Uhuru upi? Watanzania tupo huru? Tupo huru kutoka kwa nani, JK Wakoloni au Mafisadi? Mtanzania yeyote atakae shiriki kwenye sherehe za namna hii ni upotezaji wa pesa. Kuna vitu vingi tunataka kushuhurikia, kwanza uchaguzi, katiba, Dowans, na Mafisadi,...
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ktk sherehe iyo naona watanzania waende kwa maandamano wakiwa na magaloni na ndoo za maji, vibatari kwa kukosa umeme,mabango ya kudai Uhuru wa Tz sababu mpaka leo upo wa Zanzibar ila wa Tnganyika uliuwawa na Muungano,kudai katiba mpya, vyama vya upinzani wafanye makongamano na taasisi za kiraia,kupinga mkwere kujiweka ikulu,na kuleta polisi watuue Arusha. Hapo Uhuru utafana na utakuwa mwanzo wa kudai uhuru wa Tanzania baada ya ule wa Tanganyika kufa.
   
Loading...