ndio kitu pekee kilichobaki cha kujivunia kwenye muuunganoVijana wa Halaiki wamependeza sana!
lowasa anaonyeshwa sana
Naona sheikh Yahaya kasaidia sana siku hizi haanguki hovyo....JK Anapokea heshima ya kijeshi, inapigwa mizinga sambamba na wimbo wa Taifa.
watu ni wengi lakini kuna mapengo....Uwanjani kukoje? Yaani wananchi wamejitokeza kwa wingi au waliopo ni kama mafungu ya manyasi ktk uwanja wa kwata?
kweli, Nakumbuka kuna watoto waliandamana baada ya kunyimwa bashasha siku ya kuzima mwengi kule Kigoma kama sikosei...Uwanjani kumejaa tisheti za rangi ya bendera, hiyo inamaanisha wengi waliopo huko uwanjani wamepata bahasha zao tayari
Ili iweje mkuu....tuombee tu mvua ya haja inyeshe huko uwanjani
Yupo tele. Ilibidi aruke viti kama v4 ili asalimiane na Dr Shein. Cjui angeanguka angesemaje
Ili iweje mkuu....