Sherehe za mapinduzi,shinyanga zilifata nn?

Sherehe za mapinduzi,shinyanga zilifata nn?

yale yalikuwa ni maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar.tulitarajia mkuu angetoa hotuba angalao ya kuelezea historia na umuhimu wa mapinduzi yale kwa watanzania, lakini kinyume chake hotuba iliyotolewa pale uwanja wa kambarage watanzania tuliisikia ma kujiuliza, hizi ni sherehe za mapinduzi kweli?
 
Back
Top Bottom