Sherehe ya wapendanao!

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,177
habari wana JF
Uswazi raha sana, hatupitwi na chochote huku,
Leo nimepita maeneo fulani hivi nikakuta watu shazi na bonge la sound la MZIKI ile nakuja kuuliza naambiwa Sherehe ya kihistoria ya BIBI na BABU wanaadhimisha miaka 50 Wakiwa katika ndoa,
Unaambiwa hawajawahi kupeana TALAKA hata moja..
PONGEZI KWAO.
 
Umejifunza Nn?
 
Unakaribishwa na nitakupeleka hadi mlangoni kwao.
Ngoja nijipange toka huku Tarime,nije nipate experience,maana nasikia mwanamke inatakiwa kuishi naye kwa akili,huyo babu atakuwa anajua mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…