miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ya mchina yaliyoozaukienda hurudi....unarudi asubuhi unasema walikuwa hawajafungua so ikabidi usubiri wafungue :teeth:
maana hukutaka akose!!!
huyo binti sijui anakula maharage ya msumbiji???
cc Mentor miss chagga
Inaweza kua kuna kitu unamfanya hapendi,au unafanya hakimridhishi..hilo nalo swali usikute jamaa mrombo!
Dawa moja, stop caring hivyo visiran vyake. Atajiweka sawa na kujirudi mwenyew.
Akinuna nuna hovyo, bila ishu ya msingi mind ur ishu fanya jambo lingine, weka movie, music,chukua kitabu soma. Kama ndo mchana, mwambie unatoka kidgo.
Anaitwa Drama Queen....kwa ufupi anapenda attention. Hebu siku moja mchunie usibembelezeeeee
Uwiiiii bonge la adhabu kwa mwanamke hiyo!! Wanawake sisi tunapenda atention asikwambie mtu ukiiondoa tu hiyo ni bonge la adhabu, ila kwa wengine huwa haiwork, kuna jamaa alimuignore mkewe alafu hali ndio ikawa mbaya zaidi ilifikia wakafanyiwa hadi counceling, the problem was age difference.
Kukiwa na sababu ya kueleweka, hata kama kudeka usideke kwa gubu hivyo na mtindo huo huo kila siku. Maana na sisi wanaume tunahitaji kupumzika na amani. Huyo ila huyo ni kisirani tu
Kukiwa na sababu ya kueleweka, hata kama kudeka usideke kwa gubu hivyo na mtindo huo huo kila siku. Maana na sisi wanaume tunahitaji kupumzika na amani. Huyo ila huyo ni kisirani tu
ha ha haha pole aisee kwa kuwa na kisirani.. tell her your grown up.. stop act like a baby you fool...... yawezekana ulimwambia unapenda demu anayedeka sasa wengine hawajui kudeka na kulalama ni tofauti.... zigo lako hilo beba muwe real
Mbona age diferensi ndogo sana mkuu, kuna mtu alioa mtoto wa miaka 6 huku yeye akiwa na miaka 58 na wakaishi vizuri sembuse wewe, komaa nae mkuu
:angry::angry:Chaaaaaaaaaaaaaaa ntaongea kichaga sasa hv, likisirani