Haa bebi ina maana umechoka kunibembeleza au...? kama umenichoka bora nirudi kwetu
mtie mimba za kutosha.....bandika bandua!
Mapenzi ni kubembelezana na sio mmoja tu ambembeleze mwenzake,kubembelezwa kuna raha yake etii,hasa kwa umpendaye.Sasa usipombembeleza weww unataka abembelezwe na nani?????
Wakuu,
Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea badala ya kua na mwenza au tatizo ni age difference maana nimemuacha 9 years?
Msaada