Hata wanaume tunaangamia kwa madawa ya kuji bust. Wazee wangapi wanafia guest?Wanaume mtawaua wadada jamani...sio kwa masajari haya....
Nimecheka sanaaaa....mbona wengine hatutaki maumbile makubwa? Yani hatutaki kero...sijui hao wanaowafanya muongeze ukubwa wa mzee wa kazi wana matatizo gani... 😂 😂 😂 😂Hata wanaume tunaangamia kwa madawa ya kuji bust. Wazee wangapi wanafia gues?
Hiyo yote ili tuweze kushiriki tendo kwa namna ambayo wanawake wamekuwa wakionesha kuridhika nayo
Wengine wana enlarge maumbile yao wakihisi wakibaki na maumbile yao ya asili hawawezi kuwa satisfy wanawake.
So kila upande una stori yake ambayo upande wa pili haujaweza kuisikia.
Hivi hizi sajari hazina negativu ifekti uzeeni?Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips.
ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA
View attachment 2889850
Malaika aliwahi kuolewa na mtangazaji wa Wasafi Fm Ricardo Momo na baadae wakaachana.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Bongo usiwe serious..... components zote za uzur zinayeyuka Baada ya bao la kwanza😂😂Lips kubwa zina kazi gani kaka zetu wazuri? Msinambie kama hiki ndo kigezo cha wanaume wa bongo baada ya takle kubwa?
Haya mateso yote ya nini kama nalo ni hitaji la kaka zetu wa bongo basi mimi ndo maana wamenishinda nahama continent kabisa😅
Inaonekana sisi natural kama msitu hatuna soko.☹😭
Pornography ndio iliyokuja kuwafanya wabadili interestNimecheka sanaaaa....mbona wengine hatutaki maumbile makubwa? Yani hatutaki kero...sijui hao wanaowafanya muongeze ukubwa wa mzee wa kazi wana matatizo gani... 😂 😂 😂 😂
Men are curious by nature..Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu, plastic au jini?
Sasa pale unafaidi nini??Men are curious by nature..
Tunataka tuone kuna nini cha ziada wakishafanya hayo masajari, hence tunajikuta tumepanga (pangwa) foleni.
Na mara nyingi tukishajionea yaliyomo huwa tunajiondokea na kurejea kwa vimbau mbau wetu tuliowazoea.
Kwanza pale si kinachotumika.ni k au??Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu,puto , plastic au jini?
Hiyo ni sawa na kuuliza haya mavy ya ng'ombe nani kayanyaMidomo Ina kazi gani kwenye mapenzi...
Ndyo nini sasaHiyo ni sawa na kuuliza haya mavy ya ng'ombe nani kayanya