topr
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 700
- 654
Nadiriki kumuita ivyo cos mm Kama mwanaume hainiingii akilini vitendo alivyokua anafanya,alianzisha mausiano na Dada binamu wangu ambae tayari alikua na mchmba na ivi sasa anamume wake!mumealali wa sister alienda njee kikazi kwa mud a Wa miaka2 baada ya Kama miezi mitano kupita Dada akashidwa kuvumilia (msisimko Wa kimwili)ndipo akakutana na shemeji Wa ajabu akamsotea Dada Kama miezi miwili akakubaliwa apo ndipo alipo anzisha manjonjo kwanza kamuamisha Dada nyumba alio kua anakaa kampangia upande mzima,kabadilisha vitu vyote ya ndani kochi kitanda,kabati,frig, na vingine kaweka vipya.
shopping anafanyiwa kila mwezi kuanzia nguo na vitu vingine,kamfungulia sister bonge LA duka kavipodozi,sister na mumewake walikua na kiwanja mbezi awajajenga jamaa kaona mbezi mbali kamnunulia sister kiwanja kimara na kamjengea ndani ya miezi mi3nyumba nzuri.kilicho nichosha mume Wa sister akiishiwa Pesa uko njee akimwambia Mkwe amtumie jamaa anasema anamtumia yeye anatoa ela yake anamtumia mume mwenzie.mwezi Wa tatu mume Wa sister karudi basi jamaa kamwambia sister anampenda sema kaisha olewa ataki kuaribu ndoa yake so wakaachana toka mwezi Wa tatu mpaka kesho ajawai kumpigia simu sister wala kumtafuta du Leo nimekuja kwa sister nimeiyona ihii nyumba nimemkumbuka kweli huyu jama nimeshindwa kuelewa alipenda Sana or mini?maana hii nyumba kajenga nzuri kushinda yakwake.kweli ni shemeji wa ajabu!:what::what::what::what::what: