Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 32
nisaidie mawazo shemeji analalamika sana mpaka namuonea huruma na mtu wake ni rafiki yangu!
Ukisha muonea m2 huruma maana unamsaidia ili arudi ktk hali yake, ww ndo unamjua shemeji yako unahic anataka nini toka kwako