Mkuu, Nimeupokea ushauri. AsanteNimepitia baadhi ya maoni ya wadau humu nimeona kila mmoja amekupinga kwa kitendo ulichofanya, of course kitendo hiko hakipaswi kufanywa na mtu aliyestaarabika tena kwenye karne hii ya 21 iliyojaa maradhi ya kutisha.
Muhimu umegundua kosa lako hakikisha hurudii tena, yaani hapo kama brother ako alikufa kwa ngwengwe mnataka wote mfe??
Acheni hiyo mambo Mkuu.
Wenyewe wanakenua tu kuteleza kwa shemeji. Atakapoanza kukatika mmoja baada ya mwingine ndio watashangaaInaonekana bro alikwenda na UMEME kwa hiyo anaona sawa tu kumalizia hasira kwa wadogo mtu....
naelewa mwenye shamba, asante kwa ushauriYaani Mr mawenge hebu jaribu kumweleza yesu matatizo yako,hebu kaa ufikirie vizuri! Yaani kihasara hasara tu unatembea na mademu wa kaka yako? Hivi unajua kiimani unavuna laana na mikosi kiasi gani kutoka kwao?mwambie Mungu kuwa umekoma ili akusafishe uanze upya safari yako,saw a mzee wa wenge?
Tutakua tumejiua wenyewe sio yeyeKama Brw,, alikua na Ngoma basi atawauwa wadogo zake wawili pamoja na mtoto wake.
Asante sana.
Punguza ukali wa maneno mkuu, sawa unaweza kuwa umeamua kuhukumu lakini sio "familia yenu wote"..familia hii ina sisi tuliofanya huu ujinga na ina wazazi pia, how comes familia yote tunaitwa malaya kwa kosa la watu wawili tuu?!Familia yenu wote mnapepo la umalaya na pia malaya lazima ampate malaya mwenzake
Sister Cajojo, hili ni kosa ambalo nalijutia sana..at least nmesema hapa nimepata relief kidogo regardless matusi nnayopokea.Pole dogo kikubwa umejua kosa basi usirudie kosa. Tubu badilika na pima afya yako uanze upya. Still young to die
unaweza ukaanza wewe mkuu ya Mungu mengisubr kufa naww