SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Hizo text mnazotumiana unatengeneza ushahidi.

Ole wako jamaa yako azinase, huo uadui utakaotokea utashangaaa imekuwaje!
 
Hizo text mnazotumiana unatengeneza ushahidi.

Ole wako jamaa yako azinase, huo uadui utakaotokea utashangaaa imekuwaje!

Mkuu nimefanikiwa kumahinda shetani nishafuta na sitak mazoea, na nimemwambia apunguze spidi
 
mkuu nimekuelewa aisee
 
Mkuu nimefanikiwa kumahinda shetani nishafuta na sitak mazoea, na nimemwambia apunguze spidi
Hongera, na ikiwezekana usije ukajibu tena text zake. Kama anashida atakuambia live siyo kuchat tena chat zenyewe zinaelekea mahaba mahaba. Hakuna kitu kinauma kama mke, believe me!
 
daaah noma sana aisee noma sana
 
Mke wa mtu huyo? Kuna dhambi nyingine hata shetani atazikana.
 
Shemeji mbona msg za kawaida tu. Kama kaanguka ni kwa ajili ya pombe we mkaushie siku ukiona mauza uza mengine ni tag

Ahaha nishaanza kumkwepa mkuu akizingua nakutumia namba zake upambane nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…