Hivi unavyomuita SHEMEJI, yeye na huyo rafiki yako wameoana au wanakulana tu? Mi nnavyoelewa shemeji ni mtu ALIEOA ndugu yako. Otherwise hao saa yoyote wanaweza kuachana.. na kwavile wewe pia hujaolewa... unaeza shangaa huyo shemeji ndio anakuja kuwa mume wako.Hajanivutia na hata kama angekuwa anavutia kwasababu ni shemeji nisingeweza
Siyo vizuri, biblia inakataza zinaaBasi nipe mimi.
Ni Dar sehem gan upoNawapa taarifa muache hii tabia mbaya
Ndiyo umeamua unitangaze hadharani? Sasa utake usitake lazima tu utanipa kipochi manyoya na sitaacha ng'oo kukuomba kila siku.Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Haha sawa ngoja kwanza nimpigie Video call wifiakoMh! Kumtaka shemeji siwezi aisee
Anatoa wakati rafiki yake yuko jikoni? Huo ni usaliti kwa rafiki yakoAlikuwa anakujaribu tu...
Wanaume ni ombaomba wasiojijua linapokuja suala la chini.
Hapana nitakuwa nimemkosea kabisa rafiki yangu siwezi kufanya hivyo kwanza huyu shemeji anaonekana hana hiyo mipango ya ndoa bado anaenjoy life la ujana japo ana kama 33 hiviHivi unavyomuita SHEMEJI, yeye na huyo rafiki yako wameoana au wanakulana tu? Mi nnavyoelewa shemeji ni mtu ALIEOA ndugu yako. Otherwise hao saa yoyote wanaweza kuachana.. na kwavile wewe pia hujaolewa... unaeza shangaa huyo shemeji ndio anakuja kuwa mume wako.
Aya msalimie wifiHaha sawa ngoja kwanza nimpigie Video call wifiako
Una bikra?Siyo vizuri, biblia inakataza zinaa
Sikujua kama ana nia mbaya jamaniAnatoa wakati rafiki yake yuko jikoni? Huo ni usaliti kwa rafiki yako
Tena shemeji mwenyewe wa mchongo tu, sio wa bloodKazi ipi sasa hapo mkuu kutembea na shemeji au
Ndiyo ninayo, wewe je?Una bikra?
Wa mchongo kivipi? Wewe unaweza kutembea na demu wa mshkaji wako?Tena shemeji mwenyewe wa mchongo tu, sio wa blood
Sikumpa jamani sina tabia mbaya kama hiyoLabda ulimpa sisi tutajuaje
Sasa si mnachoka sana jamani, kwanini msitulie tu na shimo mojaWanaume ni kama panya kila kukicha tunahangaika kutafuta shimo jipya
We ulisikia wapi Mwanaume akawa na Bikra, afu inaezekanaje Bikra ukawa na shoga Singo Maza?Ndiyo ninayo, wewe je?
Wee bana we..😄 maisha ni safari ndefu. Miaka 10 ijayo, huyo shemeji alishaachana na rafki yako siku nyingi, na wewe mlishazinguana na huyu jamaa yako wa sasa.. utashangaa penzi lenu na shemeji jinsi litakavyopamba moto 🔥🔥 Saa hiyo wote mnatafuta chaka la kustaafia 🤣🤣Hapana nitakuwa nimemkosea kabisa rafiki yangu siwezi kufanya hivyo kwanza huyu shemeji anaonekana hana hiyo mipango ya ndoa bado anaenjoy life la ujana japo ana kama 33 hivi