kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #321 fansida said: Lisije likatupunguzia wapiga kura wetu Click to expand... Nini hiyo?
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,504 Reaction score 3,170 Apr 6, 2025 #322 Mpe tu, au hana hela ndo maana unambania.
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #323 Odense said: Mpe tu, au hana hela ndo maana unambania. Click to expand... Sitaki tu
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #324 Yoda said: Chunguza pia usikute mwanaume wako naye anamuomba tunda huyo shoga yako. Click to expand... 😂
Yoda said: Chunguza pia usikute mwanaume wako naye anamuomba tunda huyo shoga yako. Click to expand... 😂
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #325 Binti Sayuni03 said: Ila nyie wanaume kwanini hamna adabu sasa jamani, rafiki yangu ni kamodo flani hivi anampikiaga misosi mitamu anaenjoy tamaa za nini tena huku nje Click to expand... Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa
Binti Sayuni03 said: Ila nyie wanaume kwanini hamna adabu sasa jamani, rafiki yangu ni kamodo flani hivi anampikiaga misosi mitamu anaenjoy tamaa za nini tena huku nje Click to expand... Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #326 Putin17 said: Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa Click to expand... Sasa siyo hadi kwa marafiki wa wanawake zenu muwe na nidhamu basi
Putin17 said: Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa Click to expand... Sasa siyo hadi kwa marafiki wa wanawake zenu muwe na nidhamu basi
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #327 Wanawake mna mambo mengi badala hatuwez kuwa na mmoja
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #328 Putin17 said: Wanawake mna mambo mengi badala hatuwez kuwa na mmoja Click to expand... Mh! Huo umalaya sasa
Putin17 said: Wanawake mna mambo mengi badala hatuwez kuwa na mmoja Click to expand... Mh! Huo umalaya sasa
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #329 Binti Sayuni03 said: Mh! Huo umalaya sasa Click to expand... Sio kwel
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #330 Putin17 said: Sio kwel Click to expand... Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi
Putin17 said: Sio kwel Click to expand... Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #331 Binti Sayuni03 said: Mh! Huo umalaya sasa Click to expand... Tatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahil
Binti Sayuni03 said: Mh! Huo umalaya sasa Click to expand... Tatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahil
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #332 Binti Sayuni03 said: Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi Click to expand... We utakubali kuliwa na wanaume wengi
Binti Sayuni03 said: Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi Click to expand... We utakubali kuliwa na wanaume wengi
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #333 Putin17 said: Tatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahil Click to expand... Kama unaona mtu hakufai si unaachana naye unatafuta mwingine
Putin17 said: Tatizo la mwanamke ni mdomo yan mwanaume hapendi kelele na ushwahil Click to expand... Kama unaona mtu hakufai si unaachana naye unatafuta mwingine
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #334 Binti Sayuni03 said: Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi Click to expand... Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahau
Binti Sayuni03 said: Nyie mbona huwa hamtaki mwanamke anayeliwa na wanaume wengi Click to expand... Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahau
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #335 Putin17 said: We utakubali kuliwa na wanaume wengi Click to expand... Hapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengi
Putin17 said: We utakubali kuliwa na wanaume wengi Click to expand... Hapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengi
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #336 Putin17 said: Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahau Click to expand... Mashindano yapi unayaongelea?
Putin17 said: Mnatakaga kushindana ndo shida inapoanzia apo kuleta mashindano mnajisahau Click to expand... Mashindano yapi unayaongelea?
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #337 Binti Sayuni03 said: Hapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengi Click to expand... Sas akila we utajuaje apo
Binti Sayuni03 said: Hapana sikubali ndiyo maana sitaki pia mwanaume wangu awe anakula wanawake wengi Click to expand... Sas akila we utajuaje apo
Putin17 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2025 Posts 339 Reaction score 585 Apr 6, 2025 #338 Binti Sayuni03 said: Mashindano yapi unayaongelea? Click to expand... Kama ivo unavosema na nyie mkiliwa na wanaume wengi kama sis tunavyokula madem wengi
Binti Sayuni03 said: Mashindano yapi unayaongelea? Click to expand... Kama ivo unavosema na nyie mkiliwa na wanaume wengi kama sis tunavyokula madem wengi
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Apr 6, 2025 Thread starter #339 Putin17 said: Sas akila we utajuaje apo Click to expand... Akiniletea magonjwa ntajua
Holoholo-Baba Kijacho JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,793 Reaction score 13,945 Apr 6, 2025 #340 Binti Sayuni03 said: Wewe amini tu hakuna namna Click to expand... picha mkuu