Shemeji ananitaka

Sijui kama ninafaa au sifai kuwa mke, kama unahitaji mwanamke humu kwanini usianzishe uzi uandike na vigezo vyako unavyohitaji atayevutiwa aje PM myajenge
 
Pole sana kwa kusumbuliwa na huyo shemeji yako mwenye tabia za malaya malaya.

Samahani naomba niende nje ya mada kwa muda. Je, unauza bidhaa gani hapo ofisini kwako? Naweza kuwa mteja wako mtarajiwa. Kama upo tayari naomba unipe location ya biashara yako nije nikuungishe siku moja.
Sitanii niko serious.
 
Asante sana mkuu, barikiwa kwa moyo wako wa kutaka kuniungisha, samahani sitaweza kukupa location sihitaji kujulikana na yeyote.
 
Sijui kama ninafaa au sifai kuwa mke, kama unahitaji mwanamke humu kwanini usianzishe uzi uandike na vigezo vyako unavyohitaji atayevutiwa aje PM myajenge
Sijasema kwa ubaya ila inawezekana katika pita pita yako na pia marafiki au ndugu na jamaa ulionao katika cycle ukaona mmoja au wawili wana uhitaji wa kweli wa kuwa na mume na wapo ready na ukaona huyu hata ningekuwa na kaka yangu ningemshauri aoe huyu mwanamke, naamini sometimes katika jamii yapo haya mambo.

kama wapo au umemuona mwananmke wa hivyo sio mbaya ukanifanyia ukristo kwa nia njema tu ya kudumisha uhusiano mwema na kutuunganisha tuwe mwili mmoja maana nia ni njema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ