Kweli mkuu,kama huyu anatupigia kelele humu tumuona descent,wakati anamkataa jamaa Kwa sababu Hana pesa.yaani angepewa hata ist angevua chap🤣Hakuna mwanamke mgumu mbele ya wallet,wanaume wenzangu tutafute hela hawa mashemeji mbona wanalika
Nilisanukia hapa hakuna mapenziHapo alikuwa anaku test ungeyatimba angepita shwaaa na angerudi Kwa rafiki yako alafu aseme wewe ndo ulimtaka
Hela anazo za kumtosha yeye na familia yakeSema hivi,Hana hela acha maneno mengi ww
Dah! Ila wewe😁😁😁Kweli mkuu,kama huyu anatupigia kelele humu tumuona descent,wakati anamkataa jamaa Kwa sababu Hana pesa.yaani angepewa hata ist angevua chap🤣
Sitaki kesi mie😁😁Nipe namba ya rafiki gako mie nikamuonjeshe kibamiaz
Hiyo mimi hapana aiseeNyie wote sio wake zake so lazima awarambe....
Kazini kuna kaziHabari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Hapo umesema kweli kwamba ni za kumtosha yy na familia yake,angekuwa na ya ziada usingekuja humu na keleleHela anazo za kumtosha yeye na familia yake
Huo ndo ukweli,yaani mwanamke yeyote anayetaka kutimiza azmanyake anayoitaka,she becomes a BEAST!Dah! Ila wewe😁😁😁
Na wewe ni kimodo pia?Ila nyie wanaume kwanini hamna adabu sasa jamani, rafiki yangu ni kamodo flani hivi anampikiaga misosi mitamu anaenjoy tamaa za nini tena huku nje
Hacha roho mbaya mkuu,kwani ukimpa atasema?Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Nimpe ili iweje kila siku anapewa wapi?Hacha roho mbaya mkuu,kwani ukimpa atasema?
Hapana mimi nina minyama😢😢😁Na wewe ni kimodo pia?
Aya bwanaHuo ndo ukweli,yaani mwanamke yeyote anayetaka kutimiza azmanyake anayoitaka,she becomes a BEAST!
Acha uchoyo dada toa zigo hilo.Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Anazo hizo za ziada lakini nadhani ana bajeti zake mwenyeweHapo umesema kweli kwamba ni za kumtosha yy na familia yake,angekuwa na ya ziada usingekuja humu na kelele
Akhuuu sitaki akale anapokulagaAcha uchoyo dada toa zigo hilo.
OteaWe kila mtu anakutaka au we ni kipoozeo cha mtaa?